Yaani pesa zinaibiwa serikalini zinawekwa kwenye vikampuni hivi,, kuna kigogo mmoja serikalini namstahi hizi ndio kazi zake kupiga madili na kuficha hela kwenye hivi vikampuni
Binafsi nimemlipia mdogo pesa Sh 900,000/ kwenye hivi vikampuni,,mdogo wangu ni mwalimu yuko tabora lakini nilishangaa dogo anakonda kila siku,anakosa Amani ndipo aliamua kunipa siri kuwa ana madeni yasiyoisha anasumbuliwa mno nikaone isiwe shida maadamu ni ndg yangu nkamchukua hadi kwa hao...
MAWAZIRI wa tz ndio maana wanatumbuliwa yaani wanasubiri mpaka rais aitishe press conference kulisemea hili?? Wananchi tunawapa taarifa hawazifanyii kazi.Gavana na waziri wa fedha toa tamko uwaokoe wtz, tutawasaidia kufichua wanapozificha ATM kadi na mikataba hatari
Hivi vikampuni ukiviangalia juu juu kama vinasaidia vile lkn ni hatari sana haiwezekani umkopeshe mtu 40-50% ni dhambi, unamtesa mwenzio wakati mwingine mtu anashindwa kukomboa ATM kadi yake anakuwa mtu wa Ku top up tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.