Joe biden mtihani mpya kwa mzalendo Trump

Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Messages
11,719
Points
2,000
Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2013
11,719 2,000
Aliyekuwa makamu wa Rais kwenye serkali ya kidemokratik iliyoongozwa na ndugu barack Obama yupo kifua mbele katika kura za maoni zinazopigwa kumshindanisha na Rais aliyeko madarakani bwana D. Trump

Joe biden akikosoa vikali sea za Trump anaonekana kutamba zaidi kama ilivyokowa kwa hilary Clinton

Wachambuzi wanasema wapiga kura wa Trump ni watu bubu watu wanaoweza kudanganya kwenye kura za maoni lakini wakabaki kumpigia kura mtukutu Trump

Joe biden anaungwa mkono zaidi na wahamiamiaji haramu, mashoga, wasafirishaji wa madawa wa kulevya na maskini wasio kuwa na lakushika

Huku trump akipata uungwaji mkono na makundi muhimu amabayo yamekuwa yakiamua uchaguzi wa USA ambao huvuta hisia za watu wengi duniani

Je Obama atafanikiwa kumrudisha rafiki yake white house au ataangukia pua kama alivyomtia gundu rafiki yake hilary

Ila sera za Joe bidden huko mashariki ya kati hasa Iran ni hatari bora za Rais wa sasa zinauvumilivu
 
GreatSeal

GreatSeal

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,037
Points
2,000
GreatSeal

GreatSeal

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,037 2,000
Biden anasogezea hapo ili Trump apite kama umeme tuu wanajua waz Biden hawez kia hicho kiti kwa sasa
 
N

Nyakibimbili

Senior Member
Joined
May 4, 2019
Messages
186
Points
500
N

Nyakibimbili

Senior Member
Joined May 4, 2019
186 500
Uchaguzi wa dunia huo na ufike basi maana dunia huwa inachangamka
 

Forum statistics

Threads 1,313,728
Members 504,636
Posts 31,803,420
Top