Recent content by nyakandula

  1. nyakandula

    Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Nimepata katoto miaka 21, na kako tayri kuolewa, nmekazid miaka 9
  2. nyakandula

    Hakuna faida ya kuwa tajiri kama hana nguvu za kiume

    Mim kadir umri wang unavoongezeka naona na nguvu za kiume ndio zinazid kuongezeka maradufu, nilivokua 20s na sasa 30s tofaut kabisa au ni hela pia😀
  3. nyakandula

    Wanaume, mshawahi nunua dadapoa wanaojiuza sababu ya starehe?

    Kuna mmoja nilisave namba yake nikawa naona anapost status mume wake na watoto wake na inaonekan wako vzr tu kiuchumi na wanafuraha.. ninahis atakua namba 3 hapo maana stry zake ana marafk wachezaj mpira ma star wa bongo karbu wote.
  4. nyakandula

    KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

    Siku hizi wanashindana kwa views za whatsapp
  5. nyakandula

    Usimuahidi mwanamke kumuoa wakati huna malengo naye

    Kuna swahiba wangu alirogwa had leo ni chizi kwasabb km hio yako
  6. nyakandula

    Namuogopa X wangu

    Umepata penz jipya ndiomaan unamdharau, penz jipya linakuaga tam san had unahis huyo x wako alikua hajui mapenz, ila penz jipya utam wake unaisha baada ya miez 3 hkn rang utaacha kuona
  7. nyakandula

    Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

    Huyu mwache ajisahau tu, baada ya miak miwil atapand boda.. amuulize piere liquid yuko wap
  8. nyakandula

    Msaada: Mgongo unaniuma sanaa

    Una kipindi nilikua naumwa san mgongo kutokan na kazi yang nakaa sana, nimeanza mazoez jan this yr, had sasa sisikii maumiv yoyote. Nilitumia madawa san had mazoez ya physiotherapy lkn skupona. FANYA MAZOEZ tu, mm kwa wiki nafanya mazoez 4.times ikiweka running 5km.
  9. nyakandula

    Ukweli ni kwamba hawa watu ni wanafiki sana, na wanapenda attention za kijinga

    "Nyie mna dini yenu na wao wana dini yao" waacheni na mila zao ilihali hawajabuguzi nyie makafiri.. Hakuna dini inayofundisha ustaarabu kuliko uislam hao unaowatolea mifano ni wachache ktk wengi ambao wanafata maamrisjo ya dini...
  10. nyakandula

    Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

    Challenge ya aina gan? Itasaidia kujua ukweli?
  11. nyakandula

    Nikikopa milioni 6 riba ya kulipa hilo deni kwa mwaka mmoja itakuaje? Nia yangu kwenda kusoma Masters nje

    Ni heri muweke dhamana gari kuliko nyumba.. inategemea na kampuni unayokopa na riba zao.. 6m kwa miez sita utarudisha 7.5m kwa wanaotumia 3.5% interest
Back
Top Bottom