Recent content by Nyagi

  1. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kutumia modem kwenye Ubuntu 14.04

    Shukrani mkuu. Nimefanikiwa
  2. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kutumia modem kwenye Ubuntu 14.04

    Habari zenu wakuu. Naomba msaada kwenye hili jambo, nina laptop inayotumia Ubuntu 14.04 nimeupdate kila kitu ila kila nikijaribu kuweka modem hazisomi. Nimeweka ya Airtel, Zantel na Tigo zote zimebuma. Mwenye solution anisaidie.
  3. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wanaume pia na kina dada wa MMU piteni hapa

    Utafikiri yeye ndo wa kwanza kutongozwa JF..
  4. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inaonesha mstari wa njano katikati ya kioo

    Yanga ndo chama langu mkuu..
  5. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inaonesha mstari wa njano katikati ya kioo

    Ndio uzuri wa JF..
  6. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inaonesha mstari wa njano katikati ya kioo

    Na mimi pia nnatumia Win 8.. Mi mwenyewe nazunguka nayo kichizi. itakua ni shuruba inazozipata nikiwa jwenye mishe zimesababisha.
  7. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inaonesha mstari wa njano katikati ya kioo

    Sawa mkuu. Nimekusoma..
  8. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inaonesha mstari wa njano katikati ya kioo

    Ahsante ndugu, nitajaribu..
  9. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inaonesha mstari wa njano katikati ya kioo

    Sina budi kubadilisha aisee.
  10. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inaonesha mstari wa njano katikati ya kioo

    Habari zenu wakuu. Ninatumia laptop ya brand ya Samsung na hivi karibuni ghafla inaonesha mstari mmoja wa njano katikati ya kioo. Hii inaweza ikawa imesababishwa na nini na nini yaweza kuwa solution yake? Maana inakata stimu muda wa kubrowse au kuangalia movie. Naombeni msaada kwa mwenye...
  11. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji internet ya mwezi

    Shukrani mkuu..
  12. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji internet ya mwezi

    Mkuu sijakuelewa hapa " ukinunua tigo watakuzawadia wiki 3 za bure hivyo utapata. dk1200 GB 4 kwa mwez na unlimited browsing." unamaanisha ukienda kununulia ofisini kwao au?
  13. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaeolewa akiwa bikira ana mapenzi ya dhati kwa mumewe kuliko

    Mkuu nahisi umesahau kua dunia ya sasa sio ile ya mwa 1947 na Kitu unachosuggest cha kuzalisha mabikira hakipo, watoto wa miaka 7 siku hizi hadi porn wanazijua, hapo unategemea atafika muda wa kuolewa akiwa bado sealed? Kwenye swala la ndoa kudumu ni hivi ANYTHING THAT WAS MEANT TO LAST WILL...
  14. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Demu anachezea Simu Wakati Wa Sex!

    Its simple, jamaa HAMSISIMUI
  15. Nyagi

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni hedhi!

    Usiombe kukutana na mdada ambae anakuaga short tempered kipindi hicho. Mimi nilishawahi kurushiwa kiti cha plastic kisa utani mdogo wa kila siku ambao tunataniana na huyo mdada. Hadi kesho nkionana nae kabla ya kumtania namuuliza kama leo ni salama au sio salama
Back
Top Bottom