Recent content by nyagendia

  1. nyagendia

    TAKWIMU: Tanzania ina watumiaji wa Intaneti takribani milioni 20

    Kwa upande wa internet access kupitia mobile uko sahihi. Ni bora takwimu zikasema idadi ya line zinazotumika kwenye internet badala ya kusema Idadi ya watu.
  2. nyagendia

    TAKWIMU: Tanzania ina watumiaji wa Intaneti takribani milioni 20

    Mawazo yako ni mazuri ila sijuhi ni kwa kiwango gani hizo data ni accurate kwasababu wanaposema WATUMIAJI maana yake ni watu, sasa unaweza kukuta mtu mmoja kwa mfano anamiliki Simu zaidi ya moja na anatumia sim card pia zaidi ya kampuni moja na zote zinatumia mobile internet, je hiyo haiwezi...
  3. nyagendia

    Rais John Magufuli aelekea Addis Ababa kwenye kilele cha mkutano wa 28 wa wakuu wa AU

    Mikutano imefanyika mingi na walitumwa wawakilishi. Pia hii ni fursa kwakwe kwenda kukutana na Viongozi wakuu wenzake wa bara la Africa. Lakini swali langu la msingi hujalijibu. Ni lini umewahi kusikia Rais akitangaza kuwa hatosafiri nje ya nchi?
  4. nyagendia

    Picha: Matumizi ya bilioni 10 kwa UDSM kama yanavyoonekana kwa sasa

    Kwani Rais ndiye aliyesema zijengwe hapo au ni uongozi wa chuo ndiyo uliotenga eneo kwa ajili ya ujenzi huo???!!
  5. nyagendia

    Rais John Magufuli aelekea Addis Ababa kwenye kilele cha mkutano wa 28 wa wakuu wa AU

    Acha upotoshwaji. Ni lini uliwahi kusikia Rais amesema hatosafiri kwenda nje ya nchi? Huo ni mkutano wa AU na Tanzania ni Active Member na ni mkutano ambao Viongozi wa Africa wanakaa kuamua mustakabali wa Bara la Africa na kujadili maswala mbalimbali unataka asiende ili iweje??
  6. nyagendia

    Rais John Magufuli aelekea Addis Ababa kwenye kilele cha mkutano wa 28 wa wakuu wa AU

    Acha kuwa na mawazo hasi kiasi hicho. Kwa Profile ya Rais aliyojijengea kwa muda mfupi hao unaodhani atawatetemekea ndiyo kila mmoja atatamani angalau hata asalimiane naye.
  7. nyagendia

    Makundi ya Watu wanaomsifia Rais Magufuli ni haya...

    Umeongea Vizuri sana. Hiki ndicho kilikuwa kilio cha muda mrefu sema binadamu ni wepesi wa kusahau na inaonesha watu walikuwa wanasema wanahitaji mabadiliko midomoni tu na si kutoka mioyoni mwao. Haya yanayofanywa na Rais ni mabadiliko kwa Vitendo na Si kwa maneno. Keep on going Mr. President...
  8. nyagendia

    DC Makonda Usisahau Pia Kutoa Copy Nyingi Za Barua Za Dhamana Police!

    Kwa mawazo yangu na hali halisi ya Walimu wetu, kuwasaidia si kuwaongezea migogoro na Makondakta wa magari. Kama anataka kuwasaidia, basi Manispaa iwalipe walimu posho kwa ajili ya nauli. Kwa watu wa usalama ni wazi na ni rahisi kwao kwakuwa ni watu wanaovaa uniform na ndiyo maana wakivaa...
  9. nyagendia

    Uchafu wa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu Ndg. Ombeni Sefue

    Mmmh! Nchi yangu Tanzania!!!!!!!!!!!
  10. nyagendia

    Kuitwa kazini TanTrade

    Acha utani wako unapoleta mzaha kwenye maisha ya watu unakuwa kama hujielewi. Waliofanya interview za Tan Trade mwezi wa March mwishoni kwa nafasi zile za kuanzia watu hawajaitwa kazini. Acheni upuuzi wenu humu ndani.
  11. nyagendia

    Jaji Werema adaiwa kumtishia kifo Kafulila bungeni Dodoma

    wewe kweli ni zuzu na nyambafu.
Back
Top Bottom