GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Nimekuwa Nikikukubali Katika HARAKATI Zako Kadha Wa Kadha Hasa Katika Kuiletea MAENDELEO Wilaya Ambayo Hata Mimi Naishi Ya KINONDONI. Najua Kuwa Naturally Wewe Ni Very Creative Person Sina Ubishi au Tatizo Katika Hilo ILA Niseme Tu Ukweli Tangia Mheshimiwa Rais Dr. Magufuli Akusifie Pale Diamond Jubilee Kwa UTENDAJI Wako Ni Kama Vile Mheshimiwa Rais Alikupulizia FILIMBI Ya Kuanza " KUKURUPUKA " Na Kweli Ukaanza KUKURUPUKA Tena Kwa KUTUKUKA.
Ndugu Makonda Umekuja Na Suala La Kuwasaidia WALIMU Wa Shule Za MSINGI Na Za UPILI ( Secondary ) Wa Wilaya Ya KINONDONI Kwa Kuwawezesha Kupanda Daladala Bure Kuanzia Saa 11 Alfajiri au Saa 2 Asubuhi Na Saa 9 Alasiri Hadi Saa 11 Jioni.
Sina SHIDA Na Hiyo HATUA Ila Technically Na Niseme UKWELI TENA BILA KUKUONEA HAYA au AIBU Kwakuwa Ni Mwana CCM Mwenzangu Kuwa UMEKURUPUKA Na USIPOANGALIA Hili Jambo ULILOLIAMUA Badala Ya KUKUJENGA ZAIDI Sasa LITAKUBOMOA Na Pengine Hata KUHARIBU ZILE SIFA Zako Zote ULIZOZIPATA.
Makonda Naomba Kukuuliza:
Mwisho Natoa RAI Kwako Nakuomba Sana Makonda HAKIKISHA Hapo Ofisini Kwako Sasa Kunakuwepo Na Copies Za Kutosha Za BARUA ZA KUTOLEANA DHAMANA Police Kwa Hao WALIMU Wako Kutokana Na Kwamba Nina Uhakika Kwa Aina Ya VIROBA Wanavyokunywa Na BANGI Wanazovuta Makondakta na Madereva Wengi Wa DALADALA Walimu Hao Kila Kukicha WATAKUWA WANAENDA KUWEKA MENO BANDIA Baada Ya Kung'olewa Kwa Ngumi Watakazokuwa Wanapigwa. Wanafunzia Wetu Sasa Wajiandae Kuwaona WALIMU Wao Wakiwafundisha Wakiwa Na MWONEKANO MPYA NA ULIOTUKUKA Wa Kuwa Na MAPENGO, NUNDU Na PUA Zao Kupinda Kwa VICHAPO Watakavyokuwa Wanavipata.
In short UMEKURUPUKA Tena VIBAYA Mno.

- Hivi ULIJIRIDHISHA KITAALAM Kabla Ya Kuamua Uliyoyaamua?
- Je Una Uhakika ULIWASHIRIKISHA Ipasavyo WADAU Wote Husika?
- Hivi Umeshawahi Kujiuliza NINI HASA MATATIZO MAKUU YA WALIMU WA TANZANIA?
- Una Uhakika WAHUSIKA WATATOA USHIRIKIANO Unaotakiwa?
- Kwanini HUKUJIPA Kwanza MUDA Hata Miezi 6 ULITIZAME KIUMAKINI?
- Hivi Kati Ya WALIMU Na WANAFUNZI Ni Akina Nani Wanahitaji MSAADA 100%?
- Je CHANGAMOTO Za Wenye DALADALA Hapa Dar Unazijua? Je UMEZITATUA?