Recent content by Nyagalu blood

  1. N

    Serikali itapata tabu saaana.

    Ifikie tu hatua iyajibu maswali ya mh.Tundu A.Lissu ,na kama haina majibu basi isione haya kumuomba radhi mh lissu,kuliko kuendelea kujibizana, huku serikali ikitoa hoja ambazo hazina mashiko ni kujiambisha na kuonyesha madhaifu yake kitaifa mpaka kimataifa.. Na zaidi ya hapo ni kumpa umaarufu...
  2. N

    Elimu bure iangaliwe upya.

    Heshima kwenu wanajamvi... Nimewaza na kuwazua juu ya hili tatizo /janga lililowakumba baadhi ya wahitimu wa darasa la saba . Kwani kama tunavyojuwa kunabaadhi ya wanafunzi mpaka muda huu hawajaripoti mashuleni kwa ajili ya kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza. Hii ni kwa sababu ya uhaba wa...
  3. N

    Msaada Tafadhali.

    Ni wiki sasa nimejiunga nanyi kwenye hii jamii forum ..nimekuwa nikileta mada,tatizo linakuja kwenye ku reply kila nikijaribu naletewa maneno haya "your account is currently pending for admin approval" tatizo nini hasa au sitakiwi kureply comments za watu? Wajuzi nijuzeniii!! Asante naomba...
  4. N

    Always Old is Gold :Jamani msiitupe cha zamani eti kisa umepata kipya.

    Ni miez kadhaa toka nimezinguana na demu wangu,bila Shari kama ilivyozoeleka kwa vijana wa sasa,hiv juzi nimekutana na huyu dem ,meng tulijadili ikiwemo maisha yanavyoenda toka tumeachana,ikiwemo kujuwa sababu....lakn alikuja kugusia vp kama nimepata Mtu mwingne,lakn kama unavyojuwa ni ngumu...
  5. N

    Tabu kweli kweli hawa mademu wa siku hizi..

    Anakuona kwa Facebook uko umepiga picha ukiwa smart ..anakufuata inbox hello mambo ukimjibu SMS kama tatu tu utasikia nitumie vocha ya elfu mbili tuchart nataka nitoke humu!!!! Hivi wanatuchukuliaje sisi???? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom