Recent content by Nyaflora

  1. N

    Ufisadi wa kutisha Elimu Singida (v)

    Umeonae,familia nzima kazi ni moja
  2. N

    Ufisadi wa kutisha Elimu Singida (v)

    Nimeaona kuna dalili vyombo husika vimeanza kuchukua hatua stahiki,jamaa wanaitwa mmoja mmoja kujieleza.Tusubiri matokeo kama ndo wenyewe,au wamtembelewa na wadau wao.TUTAJUA BAADAYE
  3. N

    Ufisadi wa kutisha Elimu Singida (v)

    Kuna Jamaa wa PCCB maeneo haya,sijui ndo wamelianzisha!
  4. N

    Ufisadi wa kutisha Elimu Singida (v)

    Mh.Waziri wa Maliasili na Utalii,ndio mwenye jimbo
  5. N

    Singida kutoa Wagombea wawili wa Urais,ni dalili nzuri

    Kutokanana miaka mingi ya mkoa wetu kuto toa wagombea wa Urais,safari hii tuna Nyalandu na Mwigulu.Binafsi nawakubali wote.Japo katika mada nyingine nitakayo kuja nayo ni kuwalinganisha wawili hao,kwa sasa nichukue fursa hii kuwapongeza wote walionyesha nia,ukiachilia mbali mapungufu madogo...
  6. N

    Ujumbe kwa wanaume wanachuo

    Nia mpango wa kwenda Chuo mwakani,kumbe ndio mambo yenyewe.Duh,ngoja nijipande kuwachuna mabazazi.
  7. N

    Ufisadi wa kutisha Elimu Singida (v)

    Mkaguzi wa ndani wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida ameibua wizi wa fedha za Umma kama ifuatavyo. Tsh.170 milioni zina vielelezo vya mashaka, Tsh.130 milioni hazina vielelezo,na milioni 30 za mitihani zimeliwa na watu watatu wa Elimu msingi na sekondari kwa kufanya manunuzi hewa. Hao maofisa...
  8. N

    Nahitaji Suzuki milango mitatu Automatic

    Wajameni, Mwenye suzuki milango mitatu auto, iliyo kwenye hali nzuri aniuzie jamani.Bei isizidi milioni tatu.
  9. N

    Hp compaq for sale

    Poa ndugu,utauza tu.Mradi isiwekimeo
  10. N

    Mgomo Ruaha Catholic University

    Ni haki yenu kisheria kuandamana,lakini mfuate sheria,Mh.Pinda kachoka maandamano kila siku.Mtapigwa tu. Nawashauri mkae mezani na wakubwa mmalize swala lenu kiutuuzima.Hata sisi tunaitarajia kuja vyuo vikuu kupata elimu ya juu tusikatishwe tamaa na migomo na matokeo ya migomo
  11. N

    Kutokoma kwa hedhi, msaada madaktari

    Hali hii imenitokea miezi mitatu sasa,siifurahii na inaniondolea kujiamini.Situmii vidonge wala sindano vya majira.
  12. N

    Kiwanja kinauzwa Burega, Kigoma

    Duh,izo bei mbona za viwanja va Dar?
  13. N

    Hp compaq for sale

    Laki mbili unachukua ndugu?
  14. N

    Kwanini watu wengi huogopa Hesabu?

    Walimu wenyewe wa hesabu kama ndio hivyo ulivyo,basi ni sababu moja wapo ya wanafunzi kufeli.
Back
Top Bottom