Singida kutoa Wagombea wawili wa Urais,ni dalili nzuri

Nyaflora

Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
14
Reaction score
0
Kutokanana miaka mingi ya mkoa wetu kuto toa wagombea wa Urais,safari hii tuna Nyalandu na Mwigulu.Binafsi nawakubali wote.Japo katika mada nyingine nitakayo kuja nayo ni kuwalinganisha wawili hao,kwa sasa nichukue fursa hii kuwapongeza wote walionyesha nia,ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yanayojitokeza
 
Hongera kwa maono yako ya maendeleo ya mkoa wenu wa Singida!
 
ungewapigia simu maana sidhani kama huwa wanapata muda wa kuingia jf
 
pumba.

Kutokanana miaka mingi ya mkoa wetu kuto toa wagombea wa Urais,safari hii tuna Nyalandu na Mwigulu.Binafsi nawakubali wote.Japo katika mada nyingine nitakayo kuja nayo ni kuwalinganisha wawili hao,kwa sasa nichukue fursa hii kuwapongeza wote walionyesha nia,ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yanayojitokeza
 
Kutokanana miaka mingi ya mkoa wetu kuto toa wagombea wa Urais,safari hii tuna Nyalandu na Mwigulu.Binafsi nawakubali wote.Japo katika mada nyingine nitakayo kuja nayo ni kuwalinganisha wawili hao,kwa sasa nichukue fursa hii kuwapongeza wote walionyesha nia,ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yanayojitokeza

Hongera zao, ni dalili nzuri sana kwa mkoa huo!
 
Ni watani zangu ,nakubaliana nao ila kama ni presidential materials hata Lisu anafaa. Lakini ni kama mtaacha ubaguzi ambao ni utamaduni wenu!
 
Hawa homeboys sidhani kama wako serious.Inawezekana ni tamaa tu.
Angalau yule mwenye birthdays 3 anaonesha kujaribu.
Yule mwingine ni ''mrembo'' tu,hana kitu.
 
Kutokanana miaka mingi ya mkoa wetu kuto toa wagombea wa Urais,safari hii tuna Nyalandu na Mwigulu.Binafsi nawakubali wote.Japo katika mada nyingine nitakayo kuja nayo ni kuwalinganisha wawili hao,kwa sasa nichukue fursa hii kuwapongeza wote walionyesha nia,ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yanayojitokeza
Mmmmmh mbona wote wapo CCM sasa ni nani atahamia upinzania ili wote wawili wogombee nafasi ya urahisi
 
Hao wawili tu? Watafute na wengine. Bado wapo. Mbona Singida kubwa?
 
Kutokanana miaka mingi ya mkoa wetu kuto toa wagombea wa Urais,safari hii tuna Nyalandu na Mwigulu.Binafsi nawakubali wote.Japo katika mada nyingine nitakayo kuja nayo ni kuwalinganisha wawili hao,kwa sasa nichukue fursa hii kuwapongeza wote walionyesha nia,ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yanayojitokeza
Of course sishangai kuwaona hao ndio presidential material (cream) ukilinganisha na level ya elimu ya mkoa husika.
 
Kutokanana miaka mingi ya mkoa wetu kuto toa wagombea wa Urais,safari hii tuna Nyalandu na Mwigulu.Binafsi nawakubali wote.Japo katika mada nyingine nitakayo kuja nayo ni kuwalinganisha wawili hao,kwa sasa nichukue fursa hii kuwapongeza wote walionyesha nia,ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yanayojitokeza

Kwa Tanzania mkoa kutoa rais ni dadili ya umaskini wa mkoa huo, ndio maana marais kamwe hawatoki Kilimanjaro, Mbeya, nk
 
Kutokanana miaka mingi ya mkoa wetu kuto toa wagombea wa Urais,safari hii tuna Nyalandu na Mwigulu.Binafsi nawakubali wote.Japo katika mada nyingine nitakayo kuja nayo ni kuwalinganisha wawili hao,kwa sasa nichukue fursa hii kuwapongeza wote walionyesha nia,ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yanayojitokeza
Pole sana.
 
Nyie watu wa Singida mwambieni ndugu yenu Lazaro nyalandu kuwa,ni MWIKO na ni MARUFUKU kufungua geti la serengeti na lile la mlima kilimanjaro kwa raia na watalii wa kenya.Hakuna jambo hata moja ambalo Julius nyerere alikataa halafu halina manufaa kwa Watanzania.
 
Utofauti wao mmoja afya sio nzuri kwani yupo kwenye dozi kitambo na mwingine hatumii dozi zaidi ya mazoezi
 
Kutokanana miaka mingi ya mkoa wetu kuto toa wagombea wa Urais,safari hii tuna Nyalandu na Mwigulu.Binafsi nawakubali wote.Japo katika mada nyingine nitakayo kuja nayo ni kuwalinganisha wawili hao,kwa sasa nichukue fursa hii kuwapongeza wote walionyesha nia,ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yanayojitokeza

Mwigulu kazaliwa 1978 hivyo ana miaka 37, atagombeaje??
 
Back
Top Bottom