Recent content by nyachijendi

  1. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Katika hali isiyokuwa ya kawaidi leo umeme umekata pande zetu za mwananyamala. Tofauti na uzinduzi wa CCM ambapo umeme ulikuwepo masaa 24 leo ni kitendawili. Tupo tunajiandaa kwenda jangwani tukaone live maana kwenye tv ni vigumu sasa japo tuna simu zenye REDIO acha tuende JANGWANI. Sijui pande...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tamko la serikali ya Tanzania kuhusu Kenya kuzuia magari ya Tanzania kubeba watalii Kenya

    Mimi siwalaumu Wakenya kuzuia magari yetu bali nailaumu serikali yangu kwa asilimia mia. Kwani ukizingatia namna nchi inavyopoteza rasilimali nyingi kwenye mambo ya kijinga na hovyo kabisa, asilimia kumi kila sehemu. Angalia ripoti ya mkaguzi wa mahesabu ya serikali kuhusu ujenzi wa kiwanja cha...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko! CC ya CCM yaazimia kuwavua Chenge, Lowassa uanachama!

    mimi nitakunya mafungumafungu toka chalinze hadi ikulu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    ubungo huku hali si swali kila mtu na usitarabu wake. Ni hatari sana
  5. N

    JamiiForums Tanzania MSAADA/USHAURI: Jina zuri la ''a baby boy''!

    huyo ni mubahu coz kazaliwa kiangazi
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nyoka Mkubwa avuka barabara

    usije ukajaribu hata siku maana wengi hukakama na kuwa kama tuta la zege hasa juyu koboko mwenye sumu kali. Angalizo koboko huwa hapitwi mkiani wala kumwagiwa mchanga maana huruka kimgongomgongo a.k.a salakasi na kumgonga mtu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nassari kupokelewa kesho KIA kwa maandamano makubwa

    kamuulize baba na lukuvi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Membe, Watanzania walioko Ukraine wanakulilia!

    Wabari za usiku watz. Ni hali ya ajabu sana kwa nchi kama tz kushindwa kuwasaidia wananchi wanaosoma ukrain. Ilikuwa ni mji mmoja ambako vita inapiganwa kila mtu alitafuta njia ya kuokoa maisha yake lakini imekuwa vigumu kwa watz kushindwa kumudu ghalama za ghafla kusafiri kwenda kwenye mji...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wachungaji, Maaskofu na Masheikh ni wala rushwa

    Dada mkubwa kumbe hata wewe ni ......... unaongelea mambo ya ushahidi kwa Lisu
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wachungaji, Maaskofu na Masheikh ni wala rushwa

    punguza povu mkuu Lisu alisema ukweli kabisa. Maana asiyekubali kukosolewa huyo afai kuwa kiongozi maana hata Jesus alikili kabisa kwamba hatuna aliyemwema dunia . So mashekhe na wachungaji ni akina nani? kama wanataka heshima wafanye yale yawapasayo kufanya.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wachungaji, Maaskofu na Masheikh ni wala rushwa

    Ni kibaraka wa dini na Mungu wake. Na hiyo newton third law of motion sio application yake hapa, au ndo nyie wa division 5 maana hamjui kuapply vitu panapotakiwa. Shame on you
  12. N

    JamiiForums Tanzania NETANYAHU tells HAMAS to BUCKLE UP Because ‘WHAT IS COMING WILL BE WORSE’

    kijana acha pumba zako maana dunia nzima inaiomba Israel isitishe vita halafu we unakuja na pombe zako. Kuweni na moyo wa huruma maana sisi tunafuatilia midia mbalimbali na hatujaona kitu unachoshabikia. Mashekhe mbalimbali jana katka Swalla ya jion wamelani na kuomba vita iishe halafu we...
  13. N

    JamiiForums Tanzania CHANNEL 10: Matangazo kukatikakatika wakati UKAWA wanaongea, je ni bahati mbaya au?

    ila ITv na EATV zina scrach mno nomeuliza kwa majirani nao wamawimbo huu.
Back
Top Bottom