Recent content by nyabulo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

    kwani azimio la tabora linasemaje
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani anaikumbuka filamu ya Girlfriend?

    Mimi naikumbuka sana afu naombamsaada jinsi ya kuipata
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada

    wadau msaada wapi ntapata ile filamu ya'girlfriend Yakina GK;TD nk msaada jaman
  4. N

    JamiiForums Tanzania Horongo juu zaidi ya Usongwe

    Ni shule mbili za sekondari za kata zilizopo bonde la Utengule USONGWE. Hapo awali zilionekana kuleta upinzani mkali wa ufahulu huku walimu wa shule hizo (Horongo&USONGWE) wakionesha kutambiana kwa kila mmoja kuvutia kwake yeye ni bora ktk ufahulu. Siku chache zilizopita mwishoni mwa mwaka...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aahirisha kuongea na 'Wazee wa Dar'; sasa kuongea nao Jumatatu wiki ijayo

    Awe mkweli anappo amua jambo siyo kutuhadaa wantanzania
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka Hoteli ya Gold Crest, Mwanza: Kongamano la Katiba Mpya

    weka picha mkubwa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kutoka Hoteli ya Gold Crest, Mwanza: Kongamano la Katiba Mpya

    Wadau mdahalo walioba tv inayoonesha niipi msaada
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Wakumwangalia saaana niyule kijana a site jitambua Makonda
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Naunga mono hoja
  10. N

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya hakieleweki, kumechafuka

    nabado maccm hadi mkome .
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uchakachuzi wa ripoti umekamilika Masele Naibu Waziri kutolewa kafara

    CCM nishida masele asikubali namshauri
Back
Top Bottom