Duh! hii inatisha na serikali isipokuwa makini, mgogoro huu utaifikisha nchi pabaya sana.... lakini pia maadui wa serikali wanaweza wakafanya kitendo kama hiki ili kuzidi kuchochea mgogoro uliopo. hapa busara ya hali ya juu inahitajika ili kumaliza mgogoro huu!
Ni kweli wengine hawafugiki! uta-mtreat fair kabisa lakini visa haviishi, na kwa wale tunaoishi nyumba za kupanga... majirani nao ndo huwatolea macho, akiona mdada unaishi naye vizuri anamrubuni na kumchukua.
Halafu cha kushangaza utakuta wale wanaopata manyanyaso katika familia wanazofanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.