Recent content by Nuzo Namia Bubelang

  1. Nuzo Namia Bubelang

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ilianzia katika chuo cha RUCO miaka mwanzoni mwa miaka ya 2010's, kuanzia 2018 IFM wakadakia,.
  2. Nuzo Namia Bubelang

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wale wa Bcom(Accounting), Bachelor degree in Accounting na kozi nyingine zilizokua zinashindana katika nafasi ya ukaguzi wa fedha (Auditing) NAOT waneshawapa mkono wa kwaheri, course mpya Bachelor degree in accounting with Information Technology inaenda kutamba sasa.
  3. Nuzo Namia Bubelang

    Hivi siku hizi kuna recruiting agency ya kuaminika?

    Wananufaika na ma-jobless. Ukiingia kumi na nane zao, kipindi hiko, unalipa 5000 cash, ili uweze kuwa considered. Na watu wa kutosha kila siku kulipa hizo buku tani tano. Nchi hii, kila tabaka ni fursa.
  4. Nuzo Namia Bubelang

    Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

    TRA kwa tangazo la mwaka jana mwezi wa sita, mchakato uliendeshwa na bodi ya wahasibu na wakaguzi ( NBAA). Kwa maana nyingine, waliuza kazi ya kusimamia usahili kwa NBAA, badala ya utumishi.
  5. Nuzo Namia Bubelang

    Kupeleka ajira za ualimu Utumishi ni moja ya maamuzi ya ovyo yaliyowahi kufanywa na serikali

    TRA kwa tangazo la mwaka jana mwezi wa sita, mchakato uliendeshwa na bodi ya wahasibu na wakaguzi ( NBAA). Kwa maana nyingine, waliuza kazi ya kusimamia usahili kwa NBAA, badala ya utumishi.
  6. Nuzo Namia Bubelang

    Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Vyovyote unavyoielezea haiondoi ukweli kuwa kuna madhaifu katika kutekeleza hilo. Unapokuja na product mpya, lazima waje na suluhu kulinda wamiliki halali wa biashara hizo. Hizo ni laini za biashara, si jambo la kushangaza mtu zaidi ya mmiliki kuendesha laini hiyo. Kinachotakiwa ni mbinu stahiki...
  7. Nuzo Namia Bubelang

    Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Kumuamini swala moja, kukosekana kwa control ni swala lingine. Malalamiko ni juu ya kukosekana kwa control. Fikiria hili Taikoni, unamiliki duka, umeajiri kijana kuendesha shughuli za kila siku. Malipo kwa "vendors" ni kwa cheques, wateja wanalipa cash, wewe ndio signatory wa cheque, unafikiri...
  8. Nuzo Namia Bubelang

    Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Wewe ndio una uelewa duni sana juu ya wajibu wa makampuni ya simu kuweka "control" zenye tija na nguvu kulinda watu walioamua kuwekeza katika biashara ya kipesa.
  9. Nuzo Namia Bubelang

    Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Swala la uaminifu lina nguvu katika kipengele za kutembea "kuiba" cash. Kujiunga na kuweza kunufaika na huduma ya mikopo kwa laini ya biashara ni madhaifu ya mfumo wa voda katika kulinda wamiliki wa laini hizo za biashara.
  10. Nuzo Namia Bubelang

    Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Hapa nimekupata. Laini za uwakala ni laizi za biashara, ni wazi na hata wao wanatambua kuwa kuna "waajiriwa" wanatumia laini hizo kwa niaba ya wamiliki. Ni jukumu lao voda kuweka mipaka katika kuzuia "third party" kujiunga na huduma mpya pasipo muhusika kutoa idhini.
  11. Nuzo Namia Bubelang

    Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Hapa ndipo wachangiaji wengi hawajaelewa. Huduma ya kutoa na kuweka pesa n huduma moja inayojitegemea, kadharika huduma ya kukopa "float" ni huduma nyingine inayojitegemea. Kwa usahihi, inafaa mitandao ya simu waongeze control kuzuia asiyehisika na usajili wa laini kuwa na uwezo wa kukopa /...
  12. Nuzo Namia Bubelang

    Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Hayo mambo yako ya kukariri darasani weka pembeni. Jamaa ana hoja, hiyo line ni ya biashara, mkataba alioingia nao ni wa huduma ya kutoa na kuweka pesa, huduma hiyo tu. Hoja yake,. Inakuaje, muajiriwa wake ameweza kufanikisha hilo la kukopa bila hao "voda" kumjulisha mmiliki?
  13. Nuzo Namia Bubelang

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hiyo ilikua ni wewe na yeye, waka haikua na haja ya kutumia lugha ilikosa ustaarabu.
  14. Nuzo Namia Bubelang

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Uzi huu umekua na generation nyingi toka 2022, katika generation ya sasa, huyu ni mmoja wa icon katika uzi huu, kwa wachangiaji na wasomaji wanaopitia uzi huu, ni rahisi kum-note.
  15. Nuzo Namia Bubelang

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hata nikiwa mimi, siwezi toa siri ya kambi. Lililotokea ulishuhudia humu.
Back
Top Bottom