Recent content by nuruyamnyonge

  1. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aishiwa nguvu na kudondoka wakati anahutubia leo Septemba 7, 2026

    Mzee awe anaongea akiwa amekaa, pole sana mzee wetu jaji mstaafu
  2. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Jaji Warioba ni mfano wa neno UZALENDO. Nikitaka kufundisha somo la uzalendo naanza na picha ya Jaji Warioba.
  3. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Mheshiwa Lissu kajitetea vibaya kwenye kipengele cha heshima kubwa aliyonayo kimataifa

    Punguzeni mihemuko, uliwahoji wale wale walioandamana wakakwambia walikuwa wafuasi wa Tundu Lissu?? Polepole si alionya na hamkusikia? Mwl.Nyerere aliwahi kusema,"Taifa linawahitaji vijana jeuri wliotayari kuhasi kwa ajili ya uzalendo kwa Taifa lao" wewe utaendelea kuwa chawa mpaka lini...
  4. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Mahakama: Lissu ana Kesi ya kujibu kutokana na ushahidi wa Jamhuri uliotolewa (Agosti 21, 2026). Amtaja Rais Samia kuwa shahidi wake

    Mungu endelea kumlinda Tundu Lissu dhidi ya watu wabaya, kesi hii ya mchongo utaimaliza wewe Mungu baba.
  5. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania KERO Bima ya Afya ya Jeshi(JWTZ) haitusaidii Wanajeshi na Familia zetu

    Hoja hii naomba isikilizwe, JWTZ wanapata shida sana hasa wazazi wao walioko mbali hakuna hospitali za jeshi. Wanajeshi wasingekatwa pesa ya matibabu kwa sababu hawana mshahara. Nasikitika sana kwa nini wanawakata pesa ya bima ya afya nasikitika.
  6. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

    Tupambane tena? Nani atatusimamia kwenye hayo mapambano ya kukomaa na kuidai katiba? Polisi na vyombo vingine vya dola vitawavumilia wapambanaji wa katiba mpya?
  7. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Hakuna mazungumzo yatakayofanyika bila Mwenyekiti kuwa Nje

    Kesi ya Lissu iende haraka mahakama imuachie huru maisha yaendelee, mtaiishi na visasi mpaka lini? Maisha ni mafupi sana hapa duniani tusijidanganye na mali tukafikiri ni zetu hapana, tujitathimini kama Taifa.
  8. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Prof. Tibaijuka anaposema Lissu ni kete muhimu katika maridhiano inamaana haoni athari alizoleta kwa Taifa? Au ni athari za kukosa cheo?

    Lissu mnamuonea tu, kubalini mawazo kinzani ndiyo hulijenga Taifa. Lissu kunyongwa sahau siyo muhaini.
  9. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Wanaume pendeni usafi, mnanuka makwapa

    Kuna wadada wengi wasiposikia harufu ya kikwapa cha mwanaume hawafiki kileleni.
  10. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Hela za Tone Tone Tunduma zabebwa na Fuso la kukodi, zilikuwa nyingi mno, viroba havikutosha, Hakika Wananchi wameamua

    Mungu awabariki wote wanaoendelea kujitoa kwa moyo mkunjufu.
  11. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania John Heche (CHADEMA): Wamepanga kutuvamia na kutudhuru nyumbani, safarini au tukiwa matembezini kisha taarifa za kipolisi zitasema - majambazi

    Chadema iko mioyoni mwa wananchi, tutawalinda kwa nguvu zote. Watekaji wasijaribu wataumbuka.
  12. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Kujipendekeza kwa kiwango cha namna hii Ili upate cheo kunadidimiza ndoto za wasomi kuwa maprofesa.
  13. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Umadhubuti wa CCM unategemea upinzani imara

    Ccm ni chama legelege na dhaifu kwa sasa, kimehakikisha mpinzani wa kweli CHADEMA kinapigwa pini Ili kupitisha udhaifu wao.
  14. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

    Spana za polepole ni za kizalendo Sana,muache asafishe chama kama kakugonga huwezi kumsifia.
  15. nuruyamnyonge

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Tundu Lissu. Asema kesi yake ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania

    Mungu akulinde na maadui waovu wote gizani na kwenye nuru, wewe ndiye mzalendo kweli katika Taifa letu. Wewe ni mshindi tutashinda pamoja.
Back
Top Bottom