Recent content by Nuru Muyanza

  1. N

    Wizara ya Ardhi wekeni ramani ya mipangomiji online kila mtu aweze kuiona kuepusha bomoa bomoa mbeleni

    Wakiona wanazidiwa waruhusu pawe na mawakala wa upimaji kwa bei elekezi.
  2. N

    Nani alipanga bajeti ya ujenzi wa ukuta wa Mererani?

    Kwani wewe ni mtorosha madini? Yani M'bongo akinunua Smartphone atataka kilakitu aongee yeye ili aonekane anajua. Haya basi nenda kawashawishi Familia yako.
  3. N

    Oldupai Gorge, utafiti wabainisha huenda ni sehemu iliyokuwa bustani ya Edeni

    Hongera sana kwa uzalendo wako wa kuielezea nchi yetu nzuri ya kuvutia Tanzania. Achana na hao wanaoitukana kila kukicha lakini hawahami.
  4. N

    Mheshimiwa Waziri wa Afya nasikitika nilichofanyiwa Lugalo hospital usiku huu

    Sasa kama ulikuwa mautiuti mbona ulivyoambiwa kulipia huduma ukaondoka?. Siungekomaa usiondoke kwa kuwa ni mgonjwa? We itakuwa ulileta mapozi au ulikuwa unatafuta Kiki.
  5. N

    Spea za suzuki swift zinauzwa

    Mi natafuta Air Filter ya Suzuki Kei
  6. N

    Tanzania inaporomoka kila kukicha. Rais yupo, anaona poa tu

    We labda ulikuwa mpigadili tu. Mimi ni Mwalimu mshahara wangu kila mwezi naingiziwa, Mke wangu nimemfungulia duka TRA nalipa kodi 2020 najua wa kumpa kura yangu bila hata ya kampeni. Sasa mimi na Serikali tutakwaruzania wapi? We utakuwa ni wale wazee wa kujilipa semina hewa au mkwepa kodi...
  7. N

    Kwenye hili la VAT Kwenye Utalii Raisi Magufuli Kakosea Sana kwa Sababu Zifuatazo:

    Yani we unaacha kututetea VAT kwenye unga ambao hata Baba yako ana ununua unakomaa na watalii ambao hata inawezekana Baba yako hatakanyaga huko. Halafu VAT ni lazima na ipo kimataifa hata hao watalii wanajua ina lipwaga we labda utetee kama kiingilio nikikubwa kipunguzwe ila VAT ni lazima. Kumbe...
  8. N

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Naulizia TATA Ace CC700 Diesel Engine ni Tshs ngapi? iko kama Kirikuu.
  9. N

    Eh! kumbe madaktari mshahara kiduchu hivi!

    Sasa kama analipwa 1,480,000/= na amekopa Bank anakatwa hata ikibaki laki 4. Kuna shida gani au ulitaka wakope hela Bank halafu Serikali ndio iwalipie? Tumia akili kuleta mada hapa kama mil 1.48 ni ndogo sema haitoshi tujue ni ndogo lakini sio useme ana take home laki 4 maana mkopo ni hiari...
  10. N

    Tunauza vifaa vya mazoezi kwa nyumbani na viwanjani

    Safi sana jamaa kajitahidi kutangaza biashara yake vizuri.
  11. N

    Road Safety: Stika za Nenda kwa Usalama ni wizi, tuungane kuupinga

    Sio sticker tu na hela ya fire tunayolipia TRA halafu hupewi mtungi wala kukaguliwa inakuwaje? Yani gari linajazwa sticker mpaka kioo kinakuwa kizito na wakati ni Serikali moja, si ibandike sticker moja kuashiria kila kitu umelipa?.
  12. N

    Ofa kwa wenye minisupermarkets pharmacy na maduka

    Tuwekee picha na sisi wa Mikoani tutaipataje?
Back
Top Bottom