Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,585
- 1,771
Nauza point of sale system yanii ni system nzuri kwa ajili ya kutunza kumbukumbu ya mauzo na manunuzi
inakupa faida ya siku wiki hadi mwezi yani kwa kifupi ni kwamba kama ni kula unajua kabisa hapa nakula faida tu sigusi mtaji
Sasa ulitaka system pamoja na computer complete ni 550000 tu ila kama una computer ukitaka system peke yake ni bei ndogo sana 250,000 tu na hii ni one time payment hulipi tena maishani