Juzi ulikuja na thread ukiomba tukulize chochote kuhusu DINI ya ALLAH (UISLAM) .... Leo wataka tukushauri kuhusu Uchawi?....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa mafundi bwana wapo Mafundii kwelii na wengine wachumia tumboo,,,niliwahi kupata fundi mmoja wa kike yule anaweza hata kukuambia matendo yako yote ya wiki nzima,,,ikiwemo uliyofanya ukiwa peke yako...Huyu yeye hakutozii nakupa hudama unakwenda ukiona shida yako imekwisha utampelekea shukrani...
Nimefikiria kwa muda,,nikaona upon serious,, binafsi nakushauri kasome kitu unachokipenda hata kama utaanza level ya certificate naamin utajituma zaidi kuliko kusoma course kwa kufata mkumbo Fulani kasema.... Na kama ni kozi za afya kwanza fahamu umepoteza nafasi ya kusoma vyuo vya serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.