Recent content by Nukes

  1. Nukes

    Hollywood wameishiwa content kwenye muvi za kivita na kijeshi?

    Typing error, inawezekana hakufanya fact check kabla ya kuchapisha hapa.
  2. Nukes

    Sababu kubwa ya wanawake kusumbuka kimapenzi au kuwa masingo mother hii hapa

    Ukiwa mzazi na ukawa na mtoo/watoto wakike nikuombea ajitambue angalau mmoja ,otherwise utakumbana na aibu ambazo ata/watakuletea wewe, familia yako, ukoo wako na uwenda kama vizazi vyako vinne vitakuwepo aibu hio itavitafuna vyote.
  3. Nukes

    Hollywood wameishiwa content kwenye muvi za kivita na kijeshi?

    Hamna namna bora kuangalia movies/series za kivita za zamani. Mimi nimeganda na Tom Clancy kwa muda huu japo ina ujinga kwenye episodes kadhaa nacheza na Fast forward (⏩)
  4. Nukes

    Hii ni huzuni kwa Bongo Flava hadi Fid Q na Alikiba nao wameingia mkenge?

    Nana imeachiwa mwaka 2015 mwaka ambao Ojuelegba ya Wizkid iliachiwa. In any way kwakuwa uli/nazungumzia kwamba kuna kipindi Diamond ali "dominate" mbele ya kina Wizkid na Davido, unaweza kufananisha mapokezi ya Ojuelegba na Nana ya Diamond?
  5. Nukes

    Hii ni huzuni kwa Bongo Flava hadi Fid Q na Alikiba nao wameingia mkenge?

    Statistically kwa miaka ya 2010's au hata hiyo 2009 still bado Diamond hakuwahi kusimama mbele ya Davido in any way, ki-exposure bado alikuwa bado, kupata cult followers ilikuwa bado kwasasa niishie hapa.
  6. Nukes

    Hii ni huzuni kwa Bongo Flava hadi Fid Q na Alikiba nao wameingia mkenge?

    Mwaka 2010 hadi 2012 Diamond alikuwa akitamba na kamwambie kwa muda huo Davido alikuwa akitamba na Dami Duro, Back When, All of You n.k.. Una ushahidi unaosapoti kwamba Mbagala, Kamwambie and the likes ziliweza kutunishiana misuli na Dami Duro?
  7. Nukes

    Hii ni huzuni kwa Bongo Flava hadi Fid Q na Alikiba nao wameingia mkenge?

    Wimbo wa Enjoy (Amapiano ya Diamond na Jux) mdundo wote umekopiwa kwenye wimbo wa Tiwa Savage na Spyro unaojulikana kwa jina la Who Is Your Guy. Kama ilikuwa strategy yake (Diamond) apate attention ya watu kulinganisha wimbo wake na wimbo wa Who is Your Guy ili apate kuteka airwaves amefanikiwa
  8. Nukes

    Musturbation

    1. Uraibu 2. Stress --Kama utakuwa unafanya masturbation na kujifungia ndani, utajifunga kwenye social life. Utapopatwa na matatizo yatakuzidia na hautaweza kuya "solve" kwakusaidiana na watu kwakuwa hauna uhusiano mzuri na watu hence utapata stress
  9. Nukes

    Physics-B, Chemistry-C na Biology-C. Kuna kozi gani ambazo ni za afya mhitimu huyu anaweza jaza kwa mwaka huu kulingana na competition?

    Naomba msaada wa mawazo
  10. Nukes

    Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

    Kwa vyeti vya karibuni (mimi nina uzoefu wangu vyeti vya 2017) entry number huwekwa juu ya cheti kabla hata jina la muombaji wa cheti halijawekwa
  11. Nukes

    Msaada: Wanafunzi waliochaguliwa kwenda Chuo cha ualimu Korogwe

    Hautakiwi kuchukulia mambo personal.
  12. Nukes

    MSAADA TUTANI: Ninaomba msaada namna ya ku-apply Songea Teachers' College

    Hapana, nimepata taarifa kwamba dirisha la application za diploma za miaka miwili (kwa entry ya cheti cha kidato cha sita) hufanyika baada ya matokeo ya kidato cha sita ya mwaka husika (kwa case hii ni 2023/2024) kutolewa. Kwakuwa matokeo bado hata dirisha la application bado halijafunguliwa.
  13. Nukes

    MSAADA TUTANI: Ninaomba msaada namna ya ku-apply Songea Teachers' College

    Hata kwa hili jibu lako nakushukuru sana 🙏🙏
  14. Nukes

    MSAADA TUTANI: Ninaomba msaada namna ya ku-apply Songea Teachers' College

    NB: Mada husika ipo kwenye paragraph ya pili. Heshima kwa wanajukwaa wote, baada ya salamu naomba niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022 na ninahitaji kujiunga na chuo cha Ualimu cha Songea (Songea Teachers' College) ili nisomee Diploma kwa...
Back
Top Bottom