Recent content by Nuhu Wa Safina

  1. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Hii ndio "kata funua" matumbo joto balaaaa😂😂😂😂
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

    Katavi hakuna eneo linaitwa Nyanhwale, hebu eleza eneo sahihi.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole na Dkt. Hassan Abbas wanawatisha watu wa media

    Pamoja na yoteeeee tujiulize, kwani katibu mkuu wa wizara ya habari ni nani? Ukijibu swali hili utajua nini maana ya uhuru wa habari kwa vyombo vya habari
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kiss of the Year 2020

    Tunaomba muendelezo wa picha yake baada ya hilo zoezi ili tumuone vizuri huyo "Shangazi"
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kikao Cha Siri Cha Membe na JPM

    Like serious, yaan hapa kama unahusika na chama cha mgombea aliyeagizwa kwenda upinzani unaweza kosa amani moyo kwa mgombea wako kumbe ni katuni tu hiyo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kuna ulazima wa kuwatoza kodi wananchi wanyonge watumiapo mitandao ya Kijamii?

    Kwani hiyo mitandao watu wanaitumia bure? Si kuna malipo ya data"MB" ambazo wanatumia? Na hizo data si zinalipiwa kabisa? Maoni yangu: Wakae waelewane na makampuni ya mitandao ya simu ambayo tunanunua data huko, waelewane namna bora ya kugawana mapato Pia wakiweza wawasiliane na watu wa hizo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Maendeleo gani mapya mmepata kijijini/mtaani kwenu kati ya 2015 hadi leo 2020?

    Kwetu; Mfumo wa maji hadi nyumbani Umeme wa REA Hivi ndio mabadiliko ya kimaendeleo yaliyoletwa na serikali hivyo kuchochea shughuli nyingine zianze hasa zinazohitaji umeme na hivyo kuchangamsha mtaa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wewe traffick usithubutu kuisumbua hii..

    Unataka traffic aogope picha?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Harmonize amsaini Scales kutoka Nigeria

    Ni vizuri kujaribu ukashindwa kuliko kuogopa kujaribu kabisa. Hongera kwako KondeBoy, keep it up
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wasafi ya Diamond imfukuze Makonda katika nafasi yake ya "Mlezi wa Kundi" hana manufaa tena, ni raia tu kama mimi na yule

    Nadhani alipewa nafasi hiyo kwa merit ya uwezo wake binafsi na mapenzi yake kwa WASAFI na hakupewa kwa sababu ni mkuu wa mkoa. Hivyo hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mkuu wa mkoa nakuilea na kuishauri WCB Wasafi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais mfute Abubakari Kunenge Ukuu wa Mkoa. Mrudishe Makonda Tafadhali

    Kwa Kiinglishi tunaita hili bandiko lako ni ama "satire" au "irony"
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi na Lucifer kumenisaidia mengi kwenye maisha

    Kazana huenda ukapata hata kauongozi huko kwa Lucifer. Maana kusifia na kujikomba ni dalili za kutaka uongozi wa upendeleo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Historia ya Joseph Kusaga

    Inatia hamasa, big up JK - Joseph Kusaga
  14. N

    JamiiForums Tanzania Paul Mashauri, Amewaelezea vizuri Marehemu Mengi, Mufuruki, Chande, Musiba na Ruge

    Japo uzi mrefu lakini nimejitahidi kusoma hadi mwisho, akili ikachoka nikashindwa kupumzika. Mengi ya kujifunza umeyafafanua Nitarudia mara ya pili kusoma nielewe zaidi
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mapokezi yake si mchezo

    Baba laoooooo, duuuh na sio Baba letuuuuuuuuu :D
Back
Top Bottom