Hii serikali inataka nchi izidi kuwa na wajinga wengi,na huu ni mpango wa kuziangusha private school kitaaluma ziwe sawa na Government wakati shule zao ni mbovu, manake huo utaratibu upo long time! Mtoto anapofika wastani walioupanga,ndo anapanda darasa na kuendelea sasa serikali wanauvunja...
Kifo kwangu ni wajibu mwili wa taifa roho yangu , kufa au kupona kutetea nchi yangu na afrika nzima iwe usiku au mchana , jua au mvua , kwa tabu na raha mungu simama pamoja nasi daima.....
No retreat no surrender
#R_I_P_comrades
Na kweli kabisa! angekua mtoto wa maskini wazazi wake wasingeweza ku afford gharama za kumsomesha chuo,hivo vyuo vya kujifunza urubani hua ni ghali Sana duniani kote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.