Recent content by Nucleus

  1. N

    JamiiForums Tanzania Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

    Wakati mwingine wanaume tuache kuwa wabinafsi. Unaposema sijui mwanamke kashatumika, sijui hana marinda, sijui kalishwa shahawa na kadhalika, Je? Ni nani aliyemfanyia hayo?? Na huyo mwanaume wake wa kwanza alikuwa anatafuta nini kwake Kama hakuwa na lengo la kumuoa?? Kwenye mambo haya ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Leo hii ukiwa haupo duniani, unahisi ni nani atateseka kwa kutokuwepo kwako?

    Kama mtu akifa halafu watoto wake wakateseka basi ni makosa yake mwenyewe.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Leo hii ukiwa haupo duniani, unahisi ni nani atateseka kwa kutokuwepo kwako?

    Sasa kwanini mtu ateseke kwa ajili yangu? Huzuni itapita maisha yataendelea. Au wewe utafurahia watu wakiteseka ukifa?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Leo hii ukiwa haupo duniani, unahisi ni nani atateseka kwa kutokuwepo kwako?

    Hakuna atakayeteseka.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    😂😂... Pole... Cha muhimu watu mkifunga ndoa usitake kumbadilisha mwenzio awe unavyotaka. Ishi naye tu hivyohivyo.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

    😂 Hivi familia walizotoka Bill Gates, Elon Musk, na Zuckerberg unazifahamu? Hao watu wazazi wao walikuwa vizuri tu na hiyo inamsaidia mtu kukua katika mazingira bora na kutambua fursa. Hapo Kuna ambao wazazi wao walikuwa madaktari tena mabinngwa, wengine wazazi wao walikuwa wanasheria... Kwaiyo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wazazi

    Nitamwambia asifuate maneno ya watu, asubiri muda wake angalau akiwa 18+.... Lakini pia nitampa elimu ya ngono salama. Maana mtoto hata umkanye itafika siku atajaribu tu mwenyewe, cha muhimu apatiwe elimu sahihi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tuongeze thamani ya majina yetu

    Mtu ukiamua kujiendeleza unapaswa kufanya hivyo kwa sababu za kitaaluma, sio kwa ajili ya nadharia kwamba utaongeza thamani ya jina.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tuongeze thamani ya majina yetu

    Mmmmh, hii kali.. hizo ni professional identity tu sidhani kama ndio huongeza thamani ya jina la mtu kuliko wengine. Tatizo nchi za Africa tuna ulimbukeni wa elimu na titles. Wenzetu unaweza kukuta mtu ana PhD lakini hatumii kabisa hiyo Dr au prof. Thamani ya jina lako itatokana na matendo...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Je kitaalamu na kisayansi MOYO hauna hata chembe za fahamu na hisia?

    Moyo hauna ufahamu. Ubongo ndio unachakata hisia nyingi ambazo wakati mwingine zinapandisha au kushusha heart rate na kumfanya mtu ahisi maumivu ya moyo.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nianzie wapi? nataka kuoa na kipato changu ni around 300k kwa mwezi

    Duuh! Kwa maisha haya ya sasa na wanawake wa siku hizi, bora usioe. Vuta subira endelea kukuza kipato. Labda Kama ukipata mwanamke anayekuelewa na kuridhika na hicho kipato chako, lakini pia yeye mwenyewe awe na Chanzo Cha kipato asiwe tegemezi kwako. Bila hivyo hakuna utachofurahia kwenye ndoa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Watu wengi wanaamini tu lakini hawajui kama Mungu yupo. Unapotazama ulimwengu na vilivyomo, utajiuliza pia hivi vitu vilitokea wapi? Ni wazi kuna nguvu fulani au kiumbe kinachohusika na uwepo wetu na dunia yenyewe. Huenda ndio Mungu. Na labda lengo lake ilikuwa dunia iwepo tu. Hizi dini ndio...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?

    Ni kweli, biashara sio rahisi kabisa hasahasa Kama ndio unaanza moja... Inahitaji ujasiri na risk
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?

    Daaah... Inabidi uijue na utambue kwamba inachukua muda sana kujenga biashara imara.
Back
Top Bottom