Recent content by ntyuka

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Hp probook 8470 p inachajiwa ikiwa off but ukiwasha haiingizi umeme kabisa hata ukitoa betri haiwaki Kwa kutumia adapter au naomba no yako nikupigie
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kama kuna tiba ya kunusuru mimba kuharibika

    Hapo mimba inatishia kutoka Kuna dawa nimeisahau jina ingekusaidia kidonge kimoja kinauzwa alfu 15 na unatakiwa ununue doz nzima but nahic umechelewa kama Damu zmeanza kutoka !
  3. N

    JamiiForums Tanzania Shamba lenye rutuba linauzwa

    Hilo litakuwa mbinguni maana lingekuwa bongo ungesema mkoa lilipo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akizitoa hizo 50M kwa kila kijiji ifikapo 2019/2020, wale wanaomkebehi watasemaje?

    Atakuwa anataka kura zetu na hatudanganyiki
  5. N

    JamiiForums Tanzania Umoja Computer Repair and Maintenance-Moshi, Arusha

    Dodoma computer workshop ,yupo Dom spare zote unapata na service zote za computer bila kusahau photocopy aina zote na printers, keyboard ya Toshiba c650 au c660 unapata Kwa alfu 60 karibu 0754-826594
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtaalam wa laptop za Dell unisaidie hapa natamani niitupe i laptop

    Ilete Dodoma computer workshop nitaitengeneza itapona na isipo pona nitakulipa but huja specifie model yake eg del d620 , d630 etc nimekuambia tatizo lake according to its model, karibu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la kupigwa mwanafunzi Mbeya: Frank Msigwa kuwaburuza kortini Kingu na Gulamali

    Msingiziwa VP frank wkt pics inaonyesha unavyofanya uovu wako we ufungwe tu huna maana,hizo nguvu ukazitumie jela kulima co kupiga dent ivi we umesoma kweli ? Mbn unafanya mambo ya kizamani sana kiukweli umenipa moto sana yaan ningekuona cjui nini kingefuata hapo.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    We tembosa inaonekana ni ndg wa huyo MWL that's why unamtetea ,hiyo how to handle cases ni course wanayoichukua kabla hawajaenda field so hapo wamefanya maksud na isitoshe hawajalazishwa kuwa waalimu wafanye kazi nyingine hata wakalime ualimu ni wito co kazi kwanza wachunguzwe huenda hata...
Back
Top Bottom