So far, Masigara yuko fiti mbaya na Sarriball yake.
Nawapa Hi fans wote Wa the Blues.
#KTHBFFH #Holler
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Willian kuna wakati alionekana kuchoka na hii inatokana na kucheza ktkt ya Wiki, hapo tulimkosa Pedro tu pia Moses amekua hana kasi sn lkn team work ya pamoja inafanya Hazard kufunga lkn km unaangalia vzr lazima uone kuna watu wameanza kutengeneza move ndo Hazard anamalizia.
Kwa mfumo wa...
Sarrball haikua na shida na Jurgen Klopp wala hakuweza kuisumbua hiyo Sarriball.
Kilichotokea ni kwamba, mabeki wa pembeni wa Chelsea wote wawili leo hawakua wanapanda sn mbele kusaidia mashambulizi hasa kutokana na kua Liverpool ina wachezaji wenye uwezo wa kukimbia sn hasa Salah na Mane...
Ha ha ha ha Malafyale bhana....
Chelsea alikuja kukufunga kwako akiwa kaweka bench key players wote. Sasa wewe umeweka full ngawamba na umeshindwa kuifunga Chelsea.
Yani humu mkuu majitu yanaongea tu bila weledi wowote ktk haya mambo.
Hayajui NOKO akirusha kikombora chake kimoja ata km cha nuclear, Marekani itarusha Mara Mia zaidi. Sasa Nani atapondwa kwa muktadha huo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.