Hakuna mwenye nafuu wote tunawadai, Mwakyembe tunamdai hayo aliyoyakalia kuiokoa serikali, Samweli Six kwann alikubali yaletwe baadhi na mengine yaachwe, ila mwisho wa sikuu wakiendelea hv ukweli utafahamika na wote watatu tutawaalani na kizazi chao kwa kutuficha ukweli kwa mda wa miaka 7 na...