Recent content by Ntuga

  1. N

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Huwezi kukuta Lumumba project akichangia mada kama hizi..............wao ni udaku na habari za watu tu!
  2. N

    Tazama maajabu ya wabunge wetu Kutoka Bungeni Leo (Picha) !

    Kwa rais makini unateuwa naibu waziri mwingine, bila hata kumwandikia barua yoyote...............povu limtoke.........tabia hii wanayo vijana wengi Lumumba project wao wakiona thread tu wanaamka usingizini kutoa hoja hafifu............unahisi jamaa akipigwa swali la nyongeza ataitikia...
  3. N

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    kama jina lako lilivyo Bongolala............Kenya walikopy wapi?
  4. N

    Napenda sana umbea

    mpo 17,wewe utakuwa kundi la zemarcopolo.
  5. N

    Hotuba ya wenje:hata CCM hawawezi ipenda..ndio maana waliwahi katisha bunge.

    unaonekana unaandika huku unalia......nasikia mlinyimwa posho baada ya kushindwa kumsafisha tusker lager!yaani msigwa anawaumiza kichwa kweli!
  6. N

    Kupanda Vyeo kwa Makamanda: Haikuwa kazi rahisi kama wengi mnavyodhani...

    Duh inasiktisha kweli.............................kumbe ndio maana na mwigulu alipandishwa cheo.....baada ya haya mambo.....! kumbe ndiyo hivi?
  7. N

    DC wa Lushoto Azidi Kuweka Watumishi Lupango

    Dah........................,siku zake zinahesabika!
  8. N

    Maalim Seif Sharif ataka msaada wa kimataifa ili Zanzibar iwe huru!

    Mbona shein simuoni, halafu hawa jamaa wanataka mambo ya chama yasiwe ya muungano............hatma ya CUF itakuwaje?
  9. N

    Udhaifu wa Kinana jukwaani ni hatari kwa CCM: Kila asemalo na "ndio au si ndio/kweli au si kweli?"

    Ha ha ha ha ha hiyo picha mkuu...........wachina wanasema '' a picture is more than a thousand words''.........!mfuko wa shati ana testa ya umeme (ya kazi gani, kucha?meno?macho?)................hatari!
  10. N

    KAWAMBWA: Lukuvi alilidanganya Bunge kuhusu Matokeo ya Kidato cha nne 2012 Yaliyofutwa

    Huyu lukuvi alikuja na mbwembwe bungeni kuwaaminisha waTz kwamba wanafunzi wameonewa, du mimi nilidhani kwa kutumia hizo gredi basi labda Div1,2,3 zingekuwa zaidi ya asilimia 50, matokeo yake zero zimepungua toka 230 thou to 210 thou, inasikitisha hamna jipya sana.................labda niwaulize...
  11. N

    CHADEMA wanasa mikakati ya CCM, Kinana kumwondoa Tundu Lissu Bungeni

    Amesababisha mauaji Somalia, nchi sasam haitawaliki..................! aghhhhhhh anataka kuleta mambo yake huku Tz.........., wakati tunaugulia tembo, ukatili dhidi ya ulimboka na Kibanda sasa kaja kivingine..........sasa ajue ''sauti ya Watu ni sauti ya Mungu'' mwisho wake umefika Dr.Slaa tupo...
  12. N

    Ukweli Kuhusu Mabadiliko ya Sera Ndani ya CUF na Ushoga!!!!!!!!!!!

    Duu kwa hiyo kumbe jamaa jana walikuja juu baada ya kugundua yale yale ''yakhee kila kitu kishalipiwa karibu...........''
  13. N

    CHADEMA na CUF walazimika kuomba msamaha Bungeni

    Katiba mpya ambayo CDM wanaipigania haitaki mbunge kuwa waziri...............kwanza inawezekana wizara zisizidi kumi, hayo mabo ya JK mawaziri 60 manaibu 30, kila mtu udenda............kwa kuzingatia maslahi ya wananchi CDM itawaacha wabunge wake makini bungeni ili waweze kuisimamia serikali...
  14. N

    Mwigulu Nchemba kuhutubia katika viwanja vya Mbulu Mjini

    Vipi atakuwa na mentor wake wa matusi lusinde..............au mzee wa mbwa (nkamia)....................manake kuna idara mpya imeundwa CCM inaitwa 'Idara ya Matusi na Uzushi' mwenyekiti mwanzilishi mwigulu katibu ni lusinde.
  15. N

    Kaimu Katibu CHADEMA Mtwara adakwa kwa tuhuma za ugaidi

    Lumumba project at work................!
Back
Top Bottom