Ukitaka uishi kwa Amani duniani, kaa kimya (jifanye huyaoni)
lkn ukitaka uishi kwa pressure na misukosuko, uwe mkweli na mpinga ukandamizaji
[emoji29]hapo utakuta.
lkn kipi bora?
Aheri uwe mkweli hata kufa ukitetea iliyokweli, maana maisha si kitu, ispokuwa utu.
maana mwisho wa binadamu...