Recent content by ntinanigwamvuyekule

  1. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Huu muujiza na ushuhuda niliosikia kwa Mwamposa umenistua

    Nothing is impossible to God unless you prove to us that the man was wrong or the pastor is a Doom.
  2. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Wanapata wapi ujasiri wa kupamba Madhabahu kwa picha za wafu?

    Nilienda SCOAN.picha zile za mitume 12 wameandika categorically usiabudu hapa. DONT WORSHIP HERE. KANISA LINGEWEKA KATAZO KUWA WATU WASIABUDU.ILA HATA MAJUMBANI,AU KWENYE ALBUM TUNA PICHA ZA WAPENDWA WETU WALIOTUTANGULIA.
  3. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Mauaji Mbeya: Afisa Ustawi wa Jamii adaiwa kunyongwa hadi kufa

    nyumbani kwake ndani ya Mahabusu hiyo ,Jijini Mbeya!!!!!Tungo tata
  4. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Niombeeni ndugu zangu, nina ugonjwa wa ajabu

    Hivi hili Ni fumbo au ukweli. Mbona Kama mauzauza
  5. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa vyeo JWTZ

    Sasa wee umesema unauzeufu na mazingira ya jeshi halafu unakuja kuuliza watu ambao wengi Ni leymen. Nadhani wee ungetiririka Sasa huo uzeufu wako.maana tunajua hata Kama wewe siyo mwanajeshi basi uliwauliza wanajeshi wenyewe.akiwemo na mwenyeji wako.
  6. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Nashauri baada ya kesi wale makomandoo wafungue kesi dhidi ya Luten Urio

    Katika hao mtu ninayemuona ana Nia ya dhati bila uongo Ni Mbowe tu.the rest wanakamilisha government comedy.
  7. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Wakuu sina raha kabisa. Wenzangu vipi mna raha?

    Cement 22'000
  8. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Nashauri masuala ya kijeshi yabaki kuwa siri

    Isaiah 39:6 [6] Tazama, siku zinakuja, ambazo vitu vyote vilivyomo nyumbani mwako, na hivyo vilivyowekwa akiba na baba zako hata leo, vitachukuliwa mpaka Babeli; hapana kitu cho chote kitakachosalia; asema BWANA.
  9. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Siku ambayo askari MP alipojitayarisha kumpiga risasi askari Sajenti kwa amri ya Mkuu wa Kambi ya Mgambo JKT

    Kuna Jambo kubwa la kujifunza...hii hulka ipo huku makanisani.mchungaji hataki uhoji mlolongo wa maamuzi .ukihoji procedures tu, unatengwa. Huenda hekima ZAIDI NI kutii na kujifanya mjinga MAANA anaweza fanya maamuzi mabaya Kama usemavyo hapo juu. Kwa hoja yako huyo luten aliudhiwa na offence...
  10. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku nilivotaka kupewa kesi ya ujasusi katika nchi ya ng'ambo wakati sijui lolote kuhusu ujasusi

    Kusingiziwa duniani Dada kupo.vizuri tu vile umeshuhudia wema wa BWANA maishani mwako.
  11. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Ni uongo gani uliwahi kusingiziwa na ukakugharimu sana japo haikua kweli?

    Jirani yangu aliiba laini yangu akatukana wakuu wangu akiwemo mchungaji matusi makuu ikaonekana ni mimi ni Mungu tu alinitetea.
  12. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Jinsi K Vant ilivyomkutanisha rafiki yangu na malaika

    Sahihi.hii sumu huwa inapanda na kushuka.yaani Kama vile imeisha halafu ikachibanza kubira bushya
  13. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

    Asante Sana robert.wengi hawajakuelewa .mvuto unahitajika hasa wa kiroho.karama na vipawa NI muhimu.watu wanasinzia kwa sababu hakuna neno lilolo hai.Neno linaandaliwa.wachungaji wengi NI wachivu kwa kazi na mishe tu.anakunguta bible.ujumbe anapatia madhabahuni
  14. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini kinacholitesa a taifa hili kwa sasa?

    Solution is the new Constitution that's ALL.
  15. ntinanigwamvuyekule

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu nahisi ana matatizo ya akili, haachi tabia ya kucheza cheza hovyo

    Ila jamaa nimempenda .hataki shida duniani
Back
Top Bottom