Sio QUARTZ hiyo..
Quartz inapatikana ikiwa na shape yake maalum..
Hii ni Silver Moon Stone inatumika kutengenezea vito ila hayana thamani kubwa na soko lake kwa hapa Tz sijui liko wapi ila kama mzigo upo wa kutosha soko lake ni India..
Section 4 & 6 inaanzisha mfuko mpya, unaitwa Public Service Social Security Fund. (PSSSF)
Section 77 Inafuta mifuko yote ilokuwepo ispokua NSSF.
S.81 Hata Voluntary Schemes za mifuko ilofutwa zinahamia kwenye mfuko mpya.
S. 80 & 87 Watumishi wote wa Umma mfuko wao utakua huu mpya, hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.