Recent content by ntengaleo2019

  1. ntengaleo2019

    Msaada: Instagram verification badge

    Error. The account verification SMS could not be sent. Please try again later. Naomba msaada kwenye hili wana JF. Kila nikijaribu kufanya verification ya account yangu ya Instagram ili nipate blue tick inaniletea hiyo sms.
  2. ntengaleo2019

    Changamkia! Jinsi ya kuanza kazi kama Freelancer 2023

    The problem is at creating portfolio. obviously we start at zero, I mean you can't have a previous work while you have done nothing. So, kama sijawahi kufanya kazi yoyote kama freelancer ntawezaje kuwapata wateja maana sitokuwa na kazi ya kunitambulisha kuwa nilishawahi kufanya kazi hapo awali.
  3. ntengaleo2019

    Nawezaje kuwa freelancer hapa Tanzania?

    Mimi ni mgeni kwenye mtandao huu wa JamiiForums hivyo nahitaji kupata majibu yatakayo nisaidia kufikia malengo yangu
  4. ntengaleo2019

    Tuliowahi kuchanganya biashara na Elimu na tukafanikiwa kote tukutane hapa

    Okay fine! Tufanyaje ambao harujaroboa kimaisha sasa ndugu
  5. ntengaleo2019

    Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha

    As long as you feel good, just keep going to head up your dreams
Back
Top Bottom