Recent content by Ntenene J

  1. N

    JamiiForums Tanzania Why do you think it is easy to mobilize muslims for a rally than christians!!

    jamani toeni huu Uzi! ukweli siyo mzuri Mara zote
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa ACT-Tanzania Wilaya ya Tanga, ajiunga UKAWA

    jamaa ana hali fulani ya uzalendo ni kweli act ni madalali@@########$$%100
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mtonyaji: Mashushushu wa Taifa na CCM wapenyeza shekeli UKAWA ili kuusambaratisha

    Mhhhh! Taarifa nyingi huwa za kweli! hili likitimia nahamia Rwanda kwa miaka hiyo mitano maana chini ya ukawa hawakuwa na chao. Na Kwa hayo magumia lijamaa litatuyumbisha. Mungu isimamie ukawa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Moses Machali wa NCCR, kutogombea ubunge Kasulu Mjini

    Machali nakupenda na ni miongoni mwa waha wachache wanaojitambua! siasa za waha zinafahamika bora usigombee ili watakapo tafunwa na ufisadi uliokithiri miezi miwili tu baada ya uchaguzi mkuu watarudi kukukumbuka. Kwa fitina nilizoziona nikiwa field hapo utahitaji nguvu ya ziada kupenya japo...
  5. N

    JamiiForums Tanzania DC Makonda apigwa changa la macho Kinondoni

    ningeweza kuwashauri wanajamvi bahati mbaya sifahamiki jina la makonda lifungiwe hapa jamvini napata kero mie ataa
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

    Shughuli sasa! mweeeeeeee hawachomoki yaani wako seti
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo kugombea tena Moshi Mjini

    apige tu zaidi maana chadema hakuna fara
  8. N

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maadili ya Utumishi wa Umma lashindwa kumuhoji Andrew Chenge

    Kujiandikisha kwenye BVR nitaenda mapema lakini kupigia kura katiba ya change siendi oktoba alfajiri pweee kumaliza biashara za ccm! nitaka nivunje rekodi mwaka huu kuwahi kituo cha mpiga kura!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nitafanya maamuzi kuhusu hatima yangu CHADEMA mwezi Machi, 2015

    Jimboni kwake ndio walimtoa kisiasa sasa anahamia twitter kupiga kampeni! ha ha ha haaaaassaaaaaaaaaaa! Wananchii wake kwa kheri maana watakaokuwa huko twitter! hawazidi 10
  10. N

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi Serikali za Mitaa Sumbawanga: CCM yaangukia pua

    katika taarifa ya habari ITV saa 2 usiku ilielezwa kuwa chadema imeshinda mitaa 38 na ccm kupitishia kwapani mitaa mitano huku mtaa mmoja ukibakia kura zikiwa zimenatana! sasa sikubahatika kuona marekebisho haya humu ni kimuhemuhe hoi hoi na shangwe kutaka kumbukumbu ziwe sahihi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tamko Rasmi la CHADEMA kuhusu Uandikishaji wapiga kura Njombe...

    Tamko limekaa njema yataangalizia ili kesho yajenge msimamo kwenye uzinduzi other wise yangeendaje chaka!
  12. N

    JamiiForums Tanzania CUF: Hatutashiriki kura ya maoni kwa katiba inayopendekezwa

    pasco unabii wako unaweza kuwa sahihi. tusubiri
  13. N

    JamiiForums Tanzania Fredinarnd Mashauri: Naweka wazi nia ya kugombea ubunge jimbo la Musoma Vijijini uchaguzi mkuu ujao

    Nami nimeshitushwa na ujenzi wa hoja nyembamba sana! umakini pia ni finyu! eti *degree ya pili ya uzamivu** hapo tena nimeona kuna vumbi! halafu tena digrii ya uzamivu katika nini? Any way nimejifunza kitu na mimi! KARIBU LAKINI
  14. N

    JamiiForums Tanzania Katibu wa ccm wilayani makete joseph mulozi ajiunga chadema

    ccm inakoroma!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Nyerere atishwa

    hii siyo kazi tena ni shughuli mzito
Back
Top Bottom