Hata haihitaji kufikirisha kichwa, apart from RAM, Processor, Resolution na vtu vngne like benchmark performance i think njia ya kutumia IMEI is the esiest way. Chukua hiyo simu unayotaka nunua angalia IMEI zake then ingia www.imei.info hiyo website kuna sehem watakwambia "Enter your IMEI here"...
Ujue tatizo kubwa la baadhi ya wenzetu waislamu ni kujiona "inferior" kwa ufupi mna "inferiority nature". Kwanza kabisa una ushahidi gani kwamba Hayati JK Nyerere alitengeneza Bakwata kwa sababu ya "kuwacontrol" waislam?
Tatizo kubwa naloliona hapa ni kutokuaminiana na kuwaona wengine kama...
With this attitude of making up things, we are going no where, lets trying making no difference for the future of our nation, You just got this opportunity that you can post something and people aroud you can learn something from you.....
Ndugu yangu Simiyu, kuwatetea wanyonge si kuhamasisha watu kugomea zoezi la Katiba mpya, tambua kuwa kuna ndugu zako hata rafiki zako ambao hawana kitambulisho cha mpiga kura na wanapenda washiriki zoezi hili, na kuna maelfu ya watanzania wamefikia umri wa kumiliki kitambulisho cha mpiga kura...
We jamaa nakushangaa sana, hivi kwa nini wenzetu mnakuwa hamna uchungu na nchi hii, kweli unaamka asubuhi unaanza kusapoti daftari la wapiga kura lisiboreshwe, unajua swala la katiba lina umuhimu gani kwetu sisi sote kama watanzania? Ifikie mahala tuweke tofauti zetu jamani na tuangalie...
Kweli akili yako ni ndogo sana mpaka unashindwa kupambanua mambo, hebu anza na mwenyekiti wako wa ccm taifa amefanya safari ngapi nje ya nchi?, unajua gharama anazotumia kwa safari moja?, je hizo safari zimeleta manufaa gani kwa wananchi wanyonge walioko kijijini?, Iwapo Marekani nchi yenye...
I hve more than 120 apps bro, trust me with this beast phone having 2 GB RAM, 1.6GHz CPU, how will it stack?? Sema due to its openness android allows everyone to put his/her own app he/she makes so you never know kaweka mi apps cracked au poorly developed.
Bro that would be his only problem, am using galaxy note 2 it doesnt stack every now and then, if you say stacking even iPhone does the shit, i had an iPhone 4S it used to stack but i thnk because of putting those cracked apps, iPhone is a music device on which you can call and browse thats all.
Guys whoever says iOS is better than Android or Android is better than iOS has got some reasons maybe, i'm using both OS's but my best choice remains to Android. Well i will tell you why i prefer using android the best than iOS, first android is HIGHLY customizable and optimisable OS of all...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.