Recent content by Nteko Vano

  1. N

    JamiiForums Tanzania CC ya CCM: Ridhiwani 'hakujadiliwa'

    uwe unaelewaga wakati mwingine. umeambiwa m/kiti alitoka kwakuwa Ritz anamuhusu..sasa anaebaki si atakaimu uenyekt?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rai ya Zitto Zuberi Kabwe na muundo wa Muungano

    Alichokiandika Zito ni kwamba anakuabaliana na Serikali tatu, isipokuwa mawazo yake yamejikita katika kuboresha muundo wa utawala. Hata hivyo, kwa mawazo yake haya yatakuwa yanakinzana na katiba ya Zanzibar! Nakumbushia kwa kusema kuwa, kosa lilifanyika katika kuikubalia Zanzibar kuwa na katiba...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wawili wa Chadema Kagera, wawasha moto na kuvuna vigogo!

    Itakuwa vema wakiwa na seed money ya kuwaanzishia/kuendeleza vikoba au saccos zao ili kuwakwamua katika rindi la umaskini. Wakifanya hivi watawasaidia akina mama hawa kujitambua. Faida yake ni kwamba hawa akina mama hawatatabaishwa tena na khanga za CCM wakati wa uchaguzi. Good strategy...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Ahsante mkuu, sasa kwanini mdau amegusia alizuia fedha kwa ajili ya kazi maalum? Kwa nini hawajasema ugonjwa wake? Je, una uelewa/ufahamu wa mazingira ya utendaji kazi wake?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mgimwa alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa gani?

    Mkuu funguka, kuna neno hapa! Sasa tuanze ugonjwa wake ulianza mara baada ya kula chakula katika ndege, Je kuna uhusiano na ulichokisema?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nauza heavy duty photocopy machine (Canon IR 2230)

    Mkuu imetumika, nilinunua mtumba na nimeitumia kwa miezi 2. Kwa kuzingatia hayo, ndio maana bei nimeshusha. Karibu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nauza heavy duty photocopy machine (Canon IR 2230)

    Heavy duty photocopy machine Canon IR 2230. Bei yake ni Tsh. 1,400,000, punguzo litakuwepo. Ipo katika hali nzuri, ninaiuza kwasababu nahitaji kuanzisha biashara nyingine. Napatikana Dar. Karibu.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa matofari ya kuchoma dar

    Wapo mwenge karibu na ofisi za jeshi kabla hujafika sheli ya pale watu wanapopandia mabasi ya kwenda bagamoyo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa matofari ya kuchoma dar

    Pale National Housing Building Agency wanauza tofali 1 sh 400 (hydroform)
  10. N

    JamiiForums Tanzania Israel yaililia Tanzania

    wayahudi wa bethlehem!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Utulivu bungeni

    Mh..uvivu wa kufikiri
  12. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Loliondo lamvuruga Kikwete

    umedadafua viizuri sana. lakini sekretariat iliktana na kutoka na maamuzi pamoja na njia ya kukabili mgogoro huu ndio maana nchemba akatumwa. nchemba ni mropokaji na ana uwezo mdogo wa kujenga hoja na upatanishi hivyo kuna uwezekano ile kauli ilimtoka tu baada ya kuona mazingira yalivyo. sasa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Loliondo lamvuruga Kikwete

    Ni lini mkulu aliwahi kutoa ufanunuzi kwa wakati kwa masuala mazito kama haya? Ccm ilimtuma mwigulu akafanye nini? Kauli ya mwigulu ndio maamuzi ya sekretarieti?
  14. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waifungulia CUF njia…

    Unapofananisha objective A na B tena kwa awamu mbili tofauti, kutakuwa na factors ambazo zinaweza kuathiri matokeo. Factor mojawapo kwa suala hili ni uongozi wa spika, pili vugu vugu la siasa nk. Kwa mantiki hiyo bandiko lako limekuwa haliwezi kutoa majibu sahihi
  15. N

    JamiiForums Tanzania Dennis Msacky atumika kuiangamiza CHADEMA,alikua na mawasiliano ya karibu na Ludovick Joseph

    Hapo kwenye red mkuu, kwa mujibu wa mleta habari inaonekana Msacky ndiye alikuwa anapiga simu, sasa iweje watekaji ndio walikuwa wanamuweka kwenye target?
Back
Top Bottom