Recent content by NTEGEYE Jr

  1. NTEGEYE Jr

    Passport yangu imeisha muda wake nataka kurenew nahitajika kulipia kiasi gani?

    Nami nimefurahia ufafanuzi huu. Hata hivyo nami naomba kueleweshwa, Passport yangu inaisha 2028 lakini nimesikia ikifika mwakani walio na passports za zamani wanatakiwa kuzibadilisha. Hapo sijaelewa namna ya kufanya
  2. NTEGEYE Jr

    Hii ndio rangi halisi ya Magufuli kwa upinzani, mengine yote ni maigizo

    Siku zinakuja, watanzania wa 2015 sio wa 2020
  3. NTEGEYE Jr

    Msaada kwa anayefahamu kuhusu madaraja uhamisho na mishahara ya wafanyakazi

    Ndugu zangu, kuna anaefahamu MADARAJA kwa watumishi yatapandishwa lini? Uhamisho utaruhusiwa tena lini maana Ndoa zetu zinaelekea kuwa mashakani. Ongezeko la Mishahara nalo lipoje?
  4. NTEGEYE Jr

    IMF Report on Tanzania: Hiki ndicho ambacho watanzania hawakupaswa kujua

    Asante sana kaka. Kikubwa ni Uchambuzi wako maana Wengine Vingereza ni vigumu
  5. NTEGEYE Jr

    Kazi imeanza

    Mungu awasimamie Sent using Jamii Forums mobile app
  6. NTEGEYE Jr

    Uwezo wa Mungu ni mkubwa sana

    Engineer somaaaa hiyooo....! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. NTEGEYE Jr

    Wasaka Urais 2020 ni zao la mafisadi na mabeberu

    Sisi tunawachora tu, naamini miaka hii miwili 2019-2020 hamtopata usingizi maisha yenu. Hofu hofu hofu imewatanda. Mmeshaona kuwa hampendwi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. NTEGEYE Jr

    Msaada wa upatikanaji wa vitabu hivi

    Hizi HADITHI Mheshimiwa wa TABORA hazitaki kabisa, ukizileta mbele yake kama hakukusukuma ndani basi anakufyekelea mbaaaliii. Note: navihitaji tafadhari maana nahisi kama niliruka stage.
  9. NTEGEYE Jr

    Hebu angalia kiti hiki na kisha ujibu swali

    Sio spoko, sindano ya moto
  10. NTEGEYE Jr

    Hebu angalia kiti hiki na kisha ujibu swali

    Nimecheka sentensi ya mwisho
  11. NTEGEYE Jr

    Hebu angalia kiti hiki na kisha ujibu swali

    Ukimpa ADHABU mtu ya kukalia KITI hiki, halafu bado ukamtaka aseme wenzake walipo na asiseme. Utachukua hatua gani nyingine?
  12. NTEGEYE Jr

    Kwa nini hatujaona jitihada kuvuta ufukweni kivuko MV Nyerere

    Ziwa Victoria lina tope. Meli imenasa chini, kama wameshindwa kazi ya uokoji baada ya kuona Giza, wataweza kulivutia Nchi kavu kweli
Back
Top Bottom