Recent content by ntamwanga

  1. N

    Ajira mpya jeshi la polisi

    UNAWEZA UKATA FORM YA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KUPITIA TOVUTI Tanzania Police Force na mshahara wa kuanzia utakuwa sawa na ule wa inspector wa polisi [mwenye nyota mbili] ambao laki nne na nusu kwenda mbele na posho la laki moja kila baada ya nusu mwezi.
  2. N

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Leo ndani ya jangwani mambo yalikuwa mabaya kwa ccm baada ya waziri magufuli kutangaza kuwa wanaotaka kurudisha kadi na kujiunga upya wajitokeze, watu wachache sana na hawafiki hata 100 na hakuna hata mmoja aliye enda kujiunga upya, baada ya kuona hali ni tete ndipo nape akalopoka kuwa hawapokei...
  3. N

    Jangwani: wafuasi CCM wadundana kugombea pesa

    Baada ya kufunga kwa mkutano wa CCM jangwani ulitokea ugonvi mkali baina ya CCM wao kung'ang'aniana pesa walizokuwa wamepatiwa.
  4. N

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Nimeshangaa leo kwenye mkutano wa ccm jangwani kuona imejaza vitoto vingi vya sekondari na shule ya msingi,vikiwa vimeletwa kwa ajili ya kucheza ngoma na kufika mida ya saa kumi na mbili vitoto krb vyote vkawa vmelala ucngz kwenye majani.
  5. N

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Leo ndani ya jangwani wasira kasema vijana wa kitanzania hawaendi kwenye nchi ndogo kama malawi.kenya,msumbiji,botswana na zngnezo kwa sababu tanzania ina maisha mazuri kuliko nchi nyingi za afrika. My take,niwatanzania wangapi wanaishi malawi ,zambia kukimbia ugumu wa maisha tz
  6. N

    Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

    Katibu mwenezi wa ccm leo ktk viwanja vya jangwani amesema uamsho wote ni kikundi cha majambazi hivyo anaiagiza serikali ya ccm iwashughurikie kama majambazi wengine. my take,inamaana IGP na NCHIMBI walikuwa wanapatanisha na majambazi
  7. N

    Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

    Kumbe mbwembwe zote ilikuwa kuigopa cdm maana hakuna chama kingine cha upinzani kilichotajwa zaidi ya cdm na vp khs katiba mbona hawajazungumzia
  8. N

    Filikunjombe: wabunge wa CCM waoga wanajipendekeza kwa chama badala kwa wananchi

    2pende 2cpende milya ni bonge la mtaji kwe2 cc cdm na najua hakialibki k2 maana yupo bega kwa bega na kamanda lema
  9. N

    Filikunjombe: wabunge wa CCM waoga wanajipendekeza kwa chama badala kwa wananchi

    haya magamba yana2mia magazet yao km mzalendo,uhuru,na mengine kukuza ugonvi wa jamvi shibuda kama mtaji wa kujiimarisha
  10. N

    Makamu M/kiti BAVICHA taifa ni pandikizi au kapewa pesa haramu?

    hakuna dada nisiyempenda kama shonza,ninamfahamu maana nimesoma nae na ndo maana kwenye uchaguzi niliwaambia watu wawe makini sana na huyu dada lkn hawakunisikia.Ni mnafiki sn ninafaham A-Z siyo shibuda aliyemtuma kuna kigogo mwenye matatizo kama yake ndani ya cdm ndo kam2ma kwa kumuogopa heche...
  11. N

    Tanzania Daima lamshambulia Zitto?

    Kiujumla zito ni mnafiki na nikiongezi pekee nisiyependa cdm na huku nyanda ya juu kusini akipewa nafasi yoyote ile kat ya uwenyekt,ukatbu au uraisi wengi 2taamia chama kngne
  12. N

    Lema apewa chopa kujenga Chadema

    kila la kheri kamanda lema 2po pamoja sn hakuna mtu ninae mkubali kama lema,anayesema hana mvuto najua wote ni magamba yaliyogomea kwenye makalio na nawashaurini msubiri na mumuone ni jinsi gn anavyokubalika,hata hivyo magamba kinawauma nn mpk mseme anamvuto? acheni woga na kukijenga chama sio...
  13. N

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    tutapoteza mda bure bora tuingie kwenye uchaguzi,maana hiyo rufani itapigwa danadana miaka mpaka miwili.
  14. N

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    big up kaka lema,mwanangu tujuze wamesemaje kuhusu lema kugombea tena aru:lol:sha mjini hawajalizungumzia?
  15. N

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    usipende kurahisishiwa kila kitu
Back
Top Bottom