Vipi kuhusu tofauti ya bei ya kununua?
Ev inaweza kuwa imeshakava tofauti ya bei kwa muda huo wa miaka miwili?
Na vipi pia kuhusu power hasa kwenye kupanda milima, Evs zinaweza kuperform vizuri?
Unaweza kutoa hata kwa yatima, mgeni, mjane na mlawi(ambao kwa sasa hawapo)
Tolati 26:12-15.
Utakapokwishakutoa zaka,.............umpe zile zaka mlawi na mgeni na yatima na mjane, wapate kula ndani ya malango yako na kushiba, .....
Kama ingekuwa hivyo nisingefikisha hata hiyo 50% ndani ya miez saba,
Mi naamini nitafanikiwa tu.
Ila mm siyo miongoni mwa wale wanaosema wanadanilod maelf ya $ kwa siku,
Mi nimeamua kuifanya kama sehemu ya kuweka akiba yangu like utt, So natumia lot ndogo mno ambayo ntabaki salama hata kama...
Hata kama taarifa nazipata kwa kuchelewa, kupanda au kushuka kwa currency yoyote hakutatokea kwa siku moja tu
Lazima na mm ntapata taarifa kwa kuchelewa siku moja au masaa kadhaa ukingatia sasahiv ni zama za utandawazi
Mfano wake si ni kama hiyo screenshot yangu niliyoanza na Usd 4000 mwezi wa nane mwaka jana ila mpaka sasa nilishafikisha 50%.
Au hiyo 45% unamaanishaje labda?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.