Recent content by ntagunga

  1. ntagunga

    Baada ya kuimiliki rasmi nimejiuliza, ni nini kirefu cha IST

    IST ina airbag bana, nitakupa picha ya IST iliyopata ajali
  2. ntagunga

    Samia kukinywea kikombe cha Harris Kamala Uchaguzi Mkuu 2025

    Basi jikite na mambo ya huko ya huku tuachie wenyewe
  3. ntagunga

    Samia kukinywea kikombe cha Harris Kamala Uchaguzi Mkuu 2025

    Unaandika haya ukiwa wapi? Tanzania hii na setting ya kisiasa iliyopo, hayo unayowaza yatokee kweli?
  4. ntagunga

    Mahakama ya Juu yasitisha kwa muda uamuzi wa Seneti kumwondoa Gachagua na Uteuzi wa Naibu Rais mpya

    Wametuacha mbali kwenye nini? Ukabila? Fitina? Hiki wanachofanya ni ulaghai mtupu labda kujaribu na kuweka presedence tu kuwa waliwahi kumfuta kazi DP. Hii ni katiba ya hovyo sana
  5. ntagunga

    Gachagua aondolewa ulinzi baada ya kuondolewa madarakani na Senate

    Inamsaidia nini raia wa Kenya? Haina tija kwa taifa la Kenya bali chuki tu
  6. ntagunga

    Ifahamike Kwamba Land Rover aliyotumia Julius Nyerere ilikuwa 109, Siyo hizi zenu mnazoziendesha huko Arusha

    Kwa hiyo katika magari 1,000+ hakuna 109? Bure kabisa wewe
  7. ntagunga

    Land Rover Festival ni tukio ambalo kibiashara lina kasoro kubwa

    Uwatangaze watauza usiwatangaze watauza. Fanya kile kilicho chini ya uwezo wako. Tamasha hili litauza mafuta, vipuri, vyakula, vinywaji n.k faida ambazo zitabaki nchini
  8. ntagunga

    Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua

    Wana mchezo wa chuki, ukabila na wanatumia muda mrefu kwa upumbavu huku wakigawana kodi za wananchi. Gachagua hata akiondolewa, hakuna kitakachobadilika, ataingia fisadi tu kula hela za wakenya
  9. ntagunga

    Barua ya wazi kwa Rais Samia: lose lips sink ships

    Umeandika mengi sana lakini nimeshindwa kumalizia kwa sababu unaamini seeikali imehusika kuua wananchi wake. How sure you are? Kwa maneno kuwa Kibao alishushwa na watu wenye silaha, ni sababu tosha kusema serikali imehusika.? Serikali ni nini? Nani ni serikali? Lakini pia inaonekana hukufurahi...
  10. ntagunga

    Rais Ruto inabidi amuite huyu kijana Ikulu na kumpatia tuzo ya heshima ya Uzalendo

    Inamsaidia nini? Tangu nilipogundua tunapoteza muda, niliamua kukaa kimya tu
  11. ntagunga

    Kaimu IGP Masengeli ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kudharau Mahakama

    Hauwasaidiiii chochote nakuambia. Wanaishia kusema tu. Hakuna nchi ina ufisadi kama Kenya EA hii
Back
Top Bottom