Recent content by Nsuumba

 1. Nsuumba

  TANZIA: Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

  Write your reply...R.I.P the hero of Clouds media
 2. Nsuumba

  TUNDU LISSU: Kuporwa kwa mafao ya Wafanyakazi ni dhambi ya Bunge au tunalishwa matango pori?

  Hivi mnamwelewa vizuri Rais? Haoni tabu kuzibani hata hizo na ikitokea hivyo mtaona huyo aliyetoa maada pia analialia.
 3. Nsuumba

  TUNDU LISSU: Kuporwa kwa mafao ya Wafanyakazi ni dhambi ya Bunge au tunalishwa matango pori?

  Aseme wabunge tumewekwa mfukoni akiwemo na yeye
 4. Nsuumba

  Serikali inashindwa kucheza na akili za Mbowe tayari ameshaweka kwenye kona nyingine

  Wadau saa nyingine tuwe na busara kidogo kwa sababu tu democracy na uhuru wa kuongea ndo hata kama ukimtukana Raisi hadharani uachwe tu eti world bank watasikia. Kama wanatafuta sababu za namna hiyo ili Tanzania ikose misaada hawamkomoi Magufuli bali taifa zima ikiwemo jimbo lake. Nitarudi...
 5. Nsuumba

  Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

  Hao wenye masters unaweza kuwalinganisha na makonda? Mbona hatuwasikii? Hizo ndo chuki ambazo mwandishi ameelezea au hujasoma bandiko lote umerukia kwenye jina tu? Acha unafiki na chuki Dar ilioza jamaa kainyoosha.
 6. Nsuumba

  Mkutano wa Umoja wa Afrika: Nchi 23 zaweka saini mkataba wa anga huru; Tanzania hatumo

  Watanzani hatuna shukurani , tungeingia kwenye list tena ungekuja na story oooh pangaboi zitaenda nchi ya nani nani azitake. Ndo maana hatuendelei sababu ya kutoa only negative impact kwa serikali basi ungekuja na angalau agreement chache kwenye mkataba tungekuelewa. Kama tumewekwa pending mpaka...
 7. Nsuumba

  Wakili Albert Msando na Zitto Kabwe wajibizana kuhusu mafao ya wastaafu kukatwa kodi

  Zitto anapotosha pesa inayokwenda mifuko ya jamii inakuwa imetolewa kwa mwajiliwa bila kukatwa kodi. Na kodi inayokatwa kwenye mshahara ni baada ya kutolewa ile ya kwenda kwenye mfuko wa kijamii. Maana nyingine ppf/nssf nk haikatwi Kodi kwenye mshahara. Kinachoenda kufanyika ni kwamba mafao ndo...
 8. Nsuumba

  Kitendo cha Rais Magufuli kutoshiriki katika kuwaaga Makamanda 14 wa JWTZ waliouawa DRC...

  Jiulize nilikuwa na tukio gani leo Dodoma?
 9. Nsuumba

  CHADEMA: Tumepokea taarifa za kujiuzulu mbunge wa Siha kupitia mitandao ya kijamii

  Lisu atarudi akute wote washahama mpaka mwenyekiti wake.
 10. Nsuumba

  Makapuku Forum

  Mach know hata huku upon???
 11. Nsuumba

  Makapuku Forum

  Poa bibie
 12. Nsuumba

  Bunge na Serikali msikubali kumhudumia mtu aliyejifanya hahitaji msaada wenu

  Sheria na utaratibu wa nchi lazima ufuatwe si mbunge wala raia, Rufaa za nje ya nchi lazima zitolewe mhimbili hospital, ndo sheria inavyosema, je mgonjwa wako amepewa na nani rufaa??? Mbona mnapenda sana kulalamika hata kama mnamakosa??? Mnapenda kuonewa huruma kila siku kwa nini? Sheria...
 13. Nsuumba

  Lissu amshukuru Rais Magufuli kwa wema aliomtendea

  Jpm hanaga imani na watu wanaomkwamisha kutekeleza ahadi alizotoa kwenye kampeni pia hana imani na wanaomkwamisha kutatua kero za wananchi
Top