Recent content by nsuri nkuu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Askofu Kitoi wa kanisa la KKKT Meru kusimikwa rasmi leo

    Asante kwa taarifa ila jitahid kusoma unachoaandika kabla hujapost huu, endele kutujuza kwa usahihi zaidi. Tupia picha ya matukio yote then tufahamishe hao wagen mashuhur ni nan? Majina yao tafadhal.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka mahakamani kwenye kesi ya Mbunge wa Arusha, Lema

    Leo vip hakuna update ya mahakamani
  3. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mbunge Lema anyimwa dhamana, arudishwa Magereza na kesi kusikilizwa tena 16 Dec

    Mbona hatupati habar za update za huko?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mbunge Lema anyimwa dhamana, arudishwa Magereza na kesi kusikilizwa tena 16 Dec

    Francis mbona hutujuzi update za mahakamani
  5. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mbunge Lema anyimwa dhamana, arudishwa Magereza na kesi kusikilizwa tena 16 Dec

    Tupeni update za mahakamani
  6. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mbunge Lema anyimwa dhamana, arudishwa Magereza na kesi kusikilizwa tena 16 Dec

    Mbona hakuna update Francis 12
  7. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Yaliyojiri kutoka mahakamani, rufaa ya Mbunge wa Arusha G. Lema, anyimwa dhamana

    Tuacheni ushabiki wa siasa hapa tunaangalia utu/ubinadam tumuombee mwezetu atoke leo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Arusha: Yaliyojiri kutoka mahakamani, rufaa ya Mbunge wa Arusha G. Lema, anyimwa dhamana

    Wakuu tupeni update za huko. ...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye serikali yawa sikivu, local channels sasa zimerudi hewani bila malipo

    Mbona king'amuzi cha Zuku hakina chanel za bure au wao wanakaidi agizo la serikal?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

    Kama upo serious ni pm
Back
Top Bottom