Katika watu walioumizwa na matokeo ya CIVICS ni mimi kwani mimi ni mwalimu wa serikali na huwa nafundisha civics wanafunzi wanafanya vizuri! sasa kuna shule ya private wakaniomba niwafundishie 'part time' na nilivowatathmini wale wanafunzi nikagundua wana uwezo kuliko wangu wa serikalini hivyo...
Nami natabiri kupungua kwa idadi ya wapiga kura 2020 jambo siombei itokee hivyo.shida ya wananchi wengi ni uhalali wa refa anaechezesha mechi ya simba na yangu huku akiwa ni mwanachama damu damu wa yanga unategemea matokeo gani hapo?
Mie kwa mtazamo wangu M.A (kiswahili) ni muafaka zaidi kwani nadhani umeona juhudi za serikali na taasisi za elimu ya juu kukihuisha kiswahili mfano chuo kikuu cha Dar es salaam wametangaza kutumika kwa kiswahili kwa mawasiliano ya pale ndani hivyo kutahitajika wamilisi wengi na wabobezi wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.