Recent content by Nsololi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ally Mufuruki awatetea IMF, World Bank. Asema Nyerere asitumike vibaya

    Tena waziwazi huku akiwa na matumaini makubw. Siku hizi kagundua kama tumepotea njia. Vivyo hivyo Prof. Shivji
  2. N

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu, hatimaye Mwenyekiti wa CCM, Dr. Magufuli, ameishiwa pumzi, hana pa kushika. Mimi nilijua mapema

    Ma DC na RC sheria inawaruhusu kuweka ndani masaaki 48, tumie sheria hii ili watu wakati. Majuzi....Ma DC na RC mnatumia vibaya sheria ya kuwaweka watu ndani bila kuwapeleka mahakamani. Acheni taiba hii😁😁😗😗🙂🙂
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha sukari Mtibwa kinawanyonya wafanyakazi Watanzania

    Grammar mistake haifanyi kutoeleweka.kwa ujumbe. Ujumbe umeeleweka hata kama.uwasilishaji wake hauvutii
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ali Mufuruki on ITV: Kilimo kwanza kiliishia wapi? Viwanda vya Saruji kupata hasara si ishara nzuri

    Tafuteni tweets zake za early 2016. Huyu ni miongoni wasomi na wafanyabiashara wakubwa walio amini sera za mkulu ni muarobaini wa matatizo yakiwemo ya uuchumi wa nchi yetu. Bila shaka naye pia atakuwa ameanza kuisoma namba
  5. N

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee kuwa macho sana na ujumbe uliouandika twitter

    Naona watu mmeanza kumlisha maneno mdomoni mwake. Hajataja jina la mtu yeyote. Jambo la mhimu ni mahakamani na sheria zake...legally hajamsema yeyeote. Mno taja ndio mnaweza kujiweka kwenye matatizo. Nawaza kwa kuandika tu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Gari za taka kumwaga taka viwanja vya jangwani na kupatikana viwanja vya Trillion 2

    Huwezi fanya land filling/ reclamation kwa kujaza na taka. Hiyo itakuwa special Ilala tu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Yule Bwana hana mix ya humility na Intelligence inayotakiwa kuongoza nchi

    Nyerere was keeping himself simple in everything , malezi na makuzi kwa watoto wake, mavazi na muonekano wake akiwa madarakani hadi uraiani baada ya kustaafu, hakuwa na matanuzi wala ulafi wa aina yoyote, kila kitu kiliuwa chini yake lkn hakujilimikisha kitu chochote wala kuchikuwa nyumba za...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kingunge: CCM ni chama changu... hakiwezi kuwa kinyume changu!

    LKN HAJAWAHI JIUNGA CHADEMA NA ALISEMA HATAJIUNGA NA CHAMA KINGINE
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kutubu - Ujinga Wetu ni Kaburi Letu

    KAMA ALIAPA KWA BIBLIA NA HAYO YA KAKOBE YAPO KWENYE BIBLIA BASI NAAMINI MAHAKAMA ITAKUBALIANA NA KAKOBE
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Mchechu ni Bomu linalo subiriwa kulipuka (Mtazamo wangu)

    Wandugu nauliza HIVI WIZARA YA UJENZI MBONA HATUSIKII UFUKUAJI WA MAKABURI. AU HUKO HAKUNA DALILI YOYOTE YA UFISADI. NAULIZA TU
  11. N

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

    Soma biblia
  12. N

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Jerusalem umekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka 3000

    Soma biblia
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    CHANGAMOTO NI KWA WATOTO AMBAO KWA SASA WATAKUWA ABOVE 16YRS NAWAZAZI WAO WANAPO WAONA WABAYA WAO WAKO NJE YA JELA TULIAMINI KUWA SIYO RAHISI KUWASAMEHE WAUAJI WA AINA HII.. NAOSYLY NI MAJIRANI ZAO
Back
Top Bottom