Recent content by nsollo

  1. nsollo

    Tanzania ya viwanda ni lini itafufufua kiwanda cha general tyre?

    Jiwe la maji mimi sioni kama tunatofautiana sana kuhusu umuhimu wa viwanda ila tatizo langu ni kuwa wanasiasa wana ajenda zao tofauti kabisa, wengi wao wanaangalia zaidi miaka yao mitano na vitu ambavyo vitawasaidia kupata kura na siyo taifa litafaidikaje kwa utumishi wao. Sasa watu kama hao...
  2. nsollo

    Tanzania ya viwanda ni lini itafufufua kiwanda cha general tyre?

    Nimefahamu kuwa wewe ni miongoni mwa wana JF makini, hoja kama hii ni ya kujenga na haifai kuweka ushabiki, tunataka kutafuta suluhu ya matatizo yetu kama taifa, sote tuna wajibu, kuna mchagiaji mmoja humu JF akizungumzia katiba amesema katiba haiji tu kwa kuwa tunataka katiba mpya la, ni lazima...
  3. nsollo

    Tanzania ya viwanda ni lini itafufufua kiwanda cha general tyre?

    Mkuu Mtambwe, nimekuelewa vizuri sana, na ulichosema kuhusu serikali kuweka mazingira wezeshi na rafiki ni jambo la msingi kabisa na nakuunga mkona mia kwa mia. Ni kutokana na muktadha huo ndiyo maana nilisema kuwa sisi wananchi nafasi yetu ni ipi, maana tunalaumu sana, lakini sisi tunafanya...
  4. nsollo

    Tanzania ya viwanda ni lini itafufufua kiwanda cha general tyre?

    Jambo moja linanitatiza, kama viwanda havijengwi, hili ni tatizo la nani? Serikali, CCM au sisi wananchi? Juu ya kufufua viwanda vilivyokuwepo hilo sina shaka serikali inawajibika 100%. Je sisi wananchi hatuna wajibu wa kuanzisha hivyo viwanda vipya? Au watanzania tunamjomba huko ughaibuni...
  5. nsollo

    Ili tuendelee tunahitaji vitu 4, hebu tujipime tulipo

    Kwa maoni yangu, wakati umebadilika sana tangu Mwalimu alipo taja hayo. Sasa hivi tunaweza kuangalia upya mahitaji hayo. Tukianza na watu, watu hawapaswi kuwepo hapo kwani wao ndiyo subject ya maendeleo na siyo kama siasa na vitu vingine. Ardhi pia ipo nje ya equation kwa kuwa ardhi ndiyo...
  6. nsollo

    Six ways men can escape poverty

    Mkuu elimu ni muhimu sana, mimi nalinganisha umuhimu na matumizi sahihi ya elimu na umuhimu wa damu kaika mwili wa mwanadamu, lakini Money capital sidhani kama ni kikwazo kikubwa sana kufikia tunapopataka japo ni muhimu pia. nasema hivyo kwakuwa kuna watu walikuwa masikini sana toka kwenye...
  7. nsollo

    Six ways men can escape poverty

    droney, Saluti kwako mkuu! Kwa kuongezea tu, mawazo hasi na kutokujiamini ni tatizo kubwa sana tulilonalo akina siye!
  8. nsollo

    Tanzanite City Part 02: Tuliyojifunza Toka Kwa Wengine!

    Wazo la kuanzishwa kwa Tanzanite City limetokana na tafiti nyingi tulizozifanya kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi iliyopita. Tafiti hizo zililenga kutufanya tujue wenzetu waliokuwa na ndoto kama zetu walipitia changamoto zipi, na kama waliweza kufaulu walifanya nini cha tofauti na kama...
  9. nsollo

    Je ni lini Tanzania itaweza kurusha satellite angani?

    Kwa hapa tulipo fika teknolojia na uchumi ni kama kuku na yai, kipi kinaanza na kipi kinafuata, usipokuwa dawa hospitali, afya itakuwa mashakani na huwezi kuwa productive, lakini pia usipokuwa na hizo teknolojia huo ichumi wa kukuwezesha kununua dawa pia ni shida kuipata. Lakini kwa nini...
  10. nsollo

    Je ni lini Tanzania itaweza kurusha satellite angani?

    Umeongea kweli mkuu, lakini Tanzania ina watu milioni 50, hawa watu wote wote tukiamua kugawana majukumu, hatuna sababu ya kusubiri, wanasiasa wafanye kazi yao kuhakikisha kuna haki na uwajibikaji, wanasayansi wafanye kazi zao kwa weledi, kujituma na ubunifu wa hali ya juu, wanaotaka kuunda...
  11. nsollo

    Tanzanite City - Part 01: Kila Jambo Huanza kwa ndoto!

    Hilo unalolisema tulisha lifanyia tafiti za kotosha na miaka kadhaa iliyopita, hebu tembelea hapa usome kuhusu The International Village for Science and Technology (AVSTI) ambayo tulipost August 6, 2014 ESTA -TANZANITE CITY OF TECHNOLOGY & INNOVATION: MBEYA: The International Village for Science...
  12. nsollo

    Tanzanite City - Part 01: Kila Jambo Huanza kwa ndoto!

    Kiongozi, kwa uchache nilichokiandika ni kueleza kwa nini ni lazima sasa kuwekeza kwenye sayansi na teknolojia, nataka ieleweke kuwa pamoja na rasilimali nyingi tulizonazo bado bila teknoljia itakuwa vigumu sana kuweza kuzidhibiti na kufaidika nazo, watu wenye uchu na mafisadi watatumia udhaifu...
  13. nsollo

    Tanzanite City - Part 01: Kila Jambo Huanza kwa ndoto!

    Tangu nilipopost uzi kuhusu ujenzi wa jiji la sayansi, Teknolojia na Ubunifu yaani Tanzanite City kumekuwa na mitazamo na maoni tofauti tofauti kuhusiana na suala hilo. Wapo waliolichukulia suala hili kama sehemu ya siasa kama watanzania wengi tulivyozowea, wapo walioona kuwa hizi ni ndoto za...
  14. nsollo

    Tanzanite City; fursa mpya na Mbeya mpya, kuelekea Tanzania ya viwanda

    Wengi wenye mawazo kama hayo wanadhani kuna siku malaika watashuka kuwaletea hayo maendeleo, wanasahau kuwa kama jambo halijafanyika au halifanyiki ni mimi na wewe ndiyo hatujafanya, siyo CCM wala CHADEMA wala CUF, kwa kuwa hao nao wanatoka miongoni mwetu, nao pia inawezekana wamekata tamaa kama...
Back
Top Bottom