Recent content by Nsobi Mwaitenda

  1. N

    Eti hii text ina ubaya gani wakuu?

    Tatizo ni hili; kuanza ngono kabla ya ndoa. Mara nyingi unajenga kutoaminiana. Kiasi ya kwamba kama amefanya na yeye atashindwaje kufanya na wengine, nafikiri kwa huyo mwanaume kumwaini mke wake. Wajenge kuaminiana, kumkubali kama alivyo, kuchunguza sana hakuzuii mtu ye yote. Zungumza na huyo...
  2. N

    I think am in love with the wrong person

    Kwa kuwa um Kwa kuwa umejitambua ulivyo ni hatua ya kwanza muhimu sana katika kuelekea kubadilika. Hata kama huyo hamtarudiana lakini ni eneo moja la kuanzia kulishughulikia. Halafu hiyo tabia inaanza mbali sio kwa tu hao unaotofautiana, chunguza una maumivu gani moyoni uliumizwa kwa namna moja...
  3. N

    Kutengua barua ya uchumba

    Na Wewe kwenye akili yako kuna mtu mwingine ambaye kwa sasa unamlinganisha na huyo wako. Hapo nyuma hukuona hilo. Upendo si hisia, ingawa hisia zinaweza kuwepo kwenye upendo. Lakini ukweli upendo ni uamuzi wa ndani yako juu ya mwenzako. Wengine wanasema mpende kwa imani si hisia. Hisia...
  4. N

    Kwanini tukatae kuwa mauaji ya polisi huko Mkuranga sio ugaidi?

    vi serikali imewahi kutoa sababu zo zote za watu waliouawa maeneo hayo serikali imezitoa. Viongozi wa serikali za kijiji wamekuwa wakiuawa, halafu hawachukui cho chote, ni maisha yao tu, je tuite ni nini? Kuna haja ya kuwakamata hawa huenda tukapata taarifa yao ni kwanini wanafanya...
  5. N

    Nina mpenzi tumedumu miaka 4, ila nataka nioe mwanamke mwingine

    Kwanza kushika dini una maana gani? Ungefafanua, je wewe kama ni mkristo na yeye anakwenda kanisani au kama wewe ni Mwislamu anakwenda msikitini au anakuzuia wewe uziendelee kwenda kwenye ibada yako au kufanya pamoja. Kama hakuzuii katika njia yako na una uhakika hana sababu zingine zinazomzuia...
  6. N

    Kuhamia Dodoma kulivyovuruga ndoa yangu hadi najuta sasa

    Hakuna anayefurahia kuhama nje ya mwenzake, huyu ndugu kwanza anatakiwa kuwa mtulivu na asiwe na mawazo hasi kuhusu mkewe. Labda ana mashaka naye kabla ya kuhamia huko. Sidhani kamaN hata yeye anafurahia kuwaacha watoto peke yake. Kwa kawaida siku hizi wanawake hawataki kuacha kazi kwa sababu...
Back
Top Bottom