Recent content by Nsimbi

  1. N

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Jiwe alilewa madaraka kama alikunywa kangara/mkaaangafuu😂😂😂.. Akwendee kule 🚮🚮. Alikua Rais wa hooovyoo kabisa!!
  2. N

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Ama kweli muosha naye hatimaye huoshwa! Baada ya kutamba sana akiwa madarakani na kusababisha madhila kwa watu wengi hatimaye amekufa na sasa anaoza! Nianze maelezo yangu kwa kipande cha shairi: Nchini kulichafuka, barani na baharini, Kitini ameshatoka, yule bichwa mjivuni, katunusuru Rabuka...
  3. N

    Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    Vipi kuhusu matunda ya miti ya michongoma! Na ku boost nguvu..
  4. N

    Ishi kifukara, uende peponi!

    The choice is yours....
  5. N

    Ishi kifukara, uende peponi!

    😂😂😂 The choice is yours! Mbingu au Moto wa milele.
  6. N

    Ishi kifukara, uende peponi!

    The choice is yours!!
  7. N

    Ishi kifukara, uende peponi!

    Milele Amina!
  8. N

    Ishi kifukara, uende peponi!

    😂😂😂😂
  9. N

    Ishi kifukara, uende peponi!

    Probably.. Kumbuka baadae alianza kutolea sadaka miungu
  10. N

    Ishi kifukara, uende peponi!

    Ukitaka kwenda peponi baada ya kifo chako, basi, sali, tenda matendo mema na ISHI KIFUKARA! Ndio, namaanisha! Fanya kazi yoyote halali lakini sehemu kubwa ya kipato chako kitumie kutimiza wajibu wako na hakika kusaidia masikini! Huwezi kutumikia mabwana ( masters) wawili, so they say...
  11. N

    Uchaguzi 2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Ni uamuzi wa busara sana. Kuzira au kususia isingesaidia kitu. Wingi si hoja ! Kumbuka mwaka 2008 wakati Lowassa anapigwa chini, Chadema ilikuwa na wabunge 11 tu! Isitoshe wabunge wengi wa CCM vilaza!!!
  12. N

    Uchaguzi 2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

    Chadema waende kwenye battle ground: Chadema wapeleke hao wabunge. Vita inapiganiwa msituni. Bunge ndio battle ground mwafaka. Isitoshe thamani ya mbunge mmoja wa Chadema ni sawa na wabunge 50 wa CCM!
Back
Top Bottom