Recent content by Nsiande

  1. Nsiande

    Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    You are very right very very right, that's absolutely what this scoundrel wanted in this honest woman......
  2. Nsiande

    Ushauri: Mume hataki kufanya mapenzi na mimi, anataka mtoto niliyezaa kabla ya kunioa

    nakushauri ukae na binti yako vizuri ujue kama kweli alishamwingilia, na ukidhibitisha, chukua hatua muafaka, ama la hajafanya hivyo lakini alimtaka kimapenzi, dada naomba uondoke unaishi na mnyama wala sio mwanadamu, mimi siwezi kumvumilia mwanaume ambaye nimezaa naye pia awe na hisia za...
  3. Nsiande

    Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

    I am glad someone else could see through Mwigulu, Mwigulu uses the people agenda as his main speech, however he needs to stay consistent and tell us his strategy, so far he has only been telling us ACTION PLANS, well you cant make president if you talk of action plan, that level is not for...
  4. Nsiande

    Yametimia: Makonda adaiwa milioni 200

    hivi huyu Mingoi ni yule mama akiimbwa na Twanga pepeta ??
  5. Nsiande

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    anything is possible, au kuukuta wenyewe unga physically humo humo, by the way, it was a bit humiliating for Kova and our uniformed force yesterday when they showed a clear win way for Gwajima, he just had to save face and show who is the boss...
  6. Nsiande

    Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    nani ana ubavu wa kujibishana na Makonda ?? he is not even in my league, ni wale wa kupewa cheo kutokana na namna alivyochezesha domo lake ....a reward for dissing Lowasa and humiliating Mzee Warioba
  7. Nsiande

    Madudu ya Uchaguzi Mkuu wa CUF haya hapa

    did you brush ? coz I can still feel the stench
  8. Nsiande

    Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    muwache kupora vyuo kama cha TANESCO muanzishe vyenu EMWAS bado ina nafasi, pale mtaani kwetu kuna kijidaftari cha ujenzi wa msikiti, nikasema hebu na mie nichangie, maana kwakweli wanaswalisha vizuri na sina ugomvi kabisa na maendeleo kama hayo kuangalia kidaftari salalalaaaaa michango...
  9. Nsiande

    Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

    nilimsoma kwenye raia mwema, huyo sheikh na ilivyoelezewa ni waislam wenzie walimtenga na kumgwaya na akanyong'onyea sana kwa mawazo na akabaki akiwa mpweke, BAKWATA ambalo ni baraza kuu walimuona hafai pia, hivyo harakati zake zote zilizimwa, lakini muda upo, Mzee Said bado una nafasi...
  10. Nsiande

    Marufuku kuonyesha filamu ya Fifty Shades of Grey

    I think the book is better although it also slightly disappointed me, y'know all the hype about it.. I have watched my pirated copy and my version of Christian Grey is SO NOT the lead actor...just my version
  11. Nsiande

    ISIS wamchoma akiwa hai rubani mateka wa Jordan

    punguza mihemko ewe internet JIHADIST
  12. Nsiande

    Samuel Sitta amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Madeni Kipande

    bila shaka wamefurahia kuondoka kwa huyo aliyejiona yuko juu ya Board na aliyemkingia kifua naye kashatoka, JK kumweka six pale hakukosea walahi
  13. Nsiande

    Updates: Madhara ya Mvua kubwa iliyonyesha maeneo ya Dar es Salaam

    ni kweli kaka ni mara yangu ya kwanza kupanda 'fly dubai' the carrier we came with:rockon:
  14. Nsiande

    Injinia madeni kipande anafaa kwa sifa kuwa DG Bandari (TPA)

    ngoma ikivuma saaana ! hiyo ya mitusi ya nguoni ni kweli kabisa, mzee huyu mdomo hauna breki kabisa yaani tena kwa masikio yangu tukiwa na wasaidizi wake, na asijali kuna watu wa nje, aliporomosha hilo neno la sehemu za siri za mwanamke kwa kumwita hivyo mwanaume jamani !! na akiwa amefunga sisi...
Back
Top Bottom