Recent content by nsharighe

  1. nsharighe

    JamiiForums Tanzania Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

    Soka ndio njia pekee iliyobaki kwa serikali kuhadaa wananchi.
  2. nsharighe

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

    Kazungu ni mwanaccm imara since kata ya kinyerezi,
  3. nsharighe

    JamiiForums Tanzania Clouds acheni kutumika kumchafua Heche

    Wanashindwa kuhoji ubadhilifu wa Fedha za serikali kupitia ripoti ya CAG wanatumika kama ndom
  4. nsharighe

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo mpaka sasa, ingekuwa ni mimi ningecheza karata moja tu na ndo iliyobaki

    Na Wakuu wa vyombo vya Usalama atawaweka pembeni? Maana hao ndio wame play part kubwa yeye kuwepo pale,
  5. nsharighe

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Rais Samia kwenye Baraza la Mawaziri

    Toka uliposema mtu asie Raia anafaa kuongoza niacha kusoma
  6. nsharighe

    JamiiForums Tanzania Soon Iko suprise itayomaliza huu ujinga unaondelea

    Kubwa ni kilembwe mlisha unga wa ndele afariki au ang'atuke.. kinyume na hapo hakuna suprised
  7. nsharighe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kimati: Najivua uanachama wa CHAUMMA, narudi CHADEMA

    Nasubiri yule Jasusi.wa Mbutu akirudi sijui atatuambia nini Takataka yule.
  8. nsharighe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Kuongea na wazee pamoja na wakuu wa Mikoa kesho 27 /08/ 2025

    Huu mwandiko wa Jakaya kabisa,.Diamond jubelee enzi zake.
  9. nsharighe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Mpina nguvu yake ni pale jimboni kwake tu huku kwengine atahujumiwa, hilo analijua. angehama kama alivyofanya kisha agombee ubunge pale pale kuja kwenye Urais kwa jicho la kintelejensia tafsiri yake ni kazi maalum ya Mfumo.
  10. nsharighe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

    Kwaiyo ni itikadi au Itifaki??
  11. nsharighe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Uharam wa ‘Candidacy’ ya Rais Samia hauwezwi kupingwa mahakamani?

    Ukitaka kupiga pesa fungua ilo shauri na pia ukitaka kupotea fungua ilo shauri...
  12. nsharighe

    JamiiForums Tanzania Hawa Hapa wanaotaka Kumyumbisha Rais Samia pamoja na kuigawa na kuleta vurugu ndani ya CCM

    Katiba iyo iyo unayosema imeandikwa kwa kiswahili ndio intaoa haki zifuatwazo.. 1. Haki ya kuishi.... mind you watu wanatekwa na kuuwawa hadharan.. 2. Haki ya kuabudu.. mind fuckin you Kanisa la gwajiba limefungwa na waumini wanaoigwa lungu. 3. Haki ya uhuru wa maoni na kufanya siasa kwa...
Back
Top Bottom