Recent content by Nsamaka

  1. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kumuambia chochote Lucas mwashambwa

    Lolote baya limkute
  2. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kibu Denis kuaibika jana, acha niseme haya

    Sio mahusiano mazuri, baba ake alikuwa anasubiri nafasi ya kwenda nchi za ulaya au Marekani kwa lugha ya kambini maarufu kama nchi ya tatu. Wakimbizi wakongo wana huo utaratibu ambao unaratbiwa chini ya IOM na UNHCR. Hivyo kama angetoka nje ya kambi angekosa hiyo furs
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis ametia aibu kushindwa kujengea wazazi wake

    Huenda huo uraia alipata yeye tu ila wazazi wake walikuwa bado. Nimefanya kazi huko, wazazi wake walikuwa wako kambini. Na huko haparuhusiwi kufanya maendeleo yoyote.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis ametia aibu kushindwa kujengea wazazi wake

    Zipo nyingi tu, UNHCR wanatoa nyumba moja ya bati. Hlf unakuta familia zinajiongeza kujenga nyumba ndio zinakuwa za hivyo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis ametia aibu kushindwa kujengea wazazi wake

    Lakini bado walikuwa wanaishi ndani ya kambi ya wakimbizi Nyarugusu
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninaishi na maumivu

    Mwezi wa July nilifiwa na mama yangu mzazi, mpk sasa hv sijielewi hali yangu. Kuna muda naona km maisha hayana maana kbs. Naumia mpk nasahau km nipo ndani ya maumivu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kabla wamisionari hawajaja Afrika na kufundisha kuhusu mbinguni na kuzimu wazee wetu walikuwa wanaenda wapi?

    Kulingana na story za babu yangu, ni kuwa licha ya kutumia mizimu lakini walikuwa wanaamini kuwa kuna nguvu ya ziada toka kwa muumba muweza wa yote. Walikuwa wanaamini kuna nguvu ya ziada iliyosababisha maisha yawepo.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Geita isipojihadhari, itakuja kuachwa mbali sana na Njombe

    Ukweli ndio huo, mkoa wa Njombe una utofauti wa kipekee. Mimi pia nilishangaa kuona hakuna nyumba za nyasi wala vyoo vibaya vya ovyo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Trump atawaumbua NSSF na PSSF

    Ila wapo wafanyakazi wanaochangia mifuko hiyo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kufungiwa MITA ya maji na jirani yangu

    Funguo moja mgawie msoma mita.
  11. N

    JamiiForums Tanzania DAR: Zaidi ya watu 200 Temeke wadhurika ngozi wakidaiwa kula chakula chenye mafuta yenye sumu

    Cha kushangaza, huyo muuzaji yeye yupo sawa. Ni kama alijua sio mafuta mazuri na hivyo hakuwahi yatumia.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Uko kama mimi, yaani kuinua mdomo huwa ni last option.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka sita anagoma kwenda shule. Nini kifanyike?

    Hahahaha
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ghafla na changamoto ya kutembea

    Duniani kuna majaribu sana.
  15. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gambo: Mimi sio Mfanyakazi wa Serikali ni Mbunge, Makonda anahitaji kuelimishwa

    Mi nadhani labda point ilikuwa vile baada ya kuuliza maswali ambayo majibu yake yalishajadiliwa kwenye vikao. Kama angekuwa anahudhuria huenda asingeuliza, ndio maana akaambiwa awe anahudhuria.
Back
Top Bottom