Recent content by Nsama nguli

  1. N

    Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

    Mtumie mkeo na rafiki yako maelezo hayo kisha we naenda kupiga job brother maana najua kama ni kudukuliwa mke ushadukuliwa sana. Cha msingi watumie mazungumzo yao then we ondoka uende kazi hawataamini kama umesafiri, watajua umewatega kuwafuma live.
  2. N

    Mzazi anayetaka kuendelea kutoa michango sekta ya Elimu ajitokeze

    Pasipo kujiongeza hawa wazazi imekula kwao na watoto wao
  3. N

    Mzazi anayetaka kuendelea kutoa michango sekta ya Elimu ajitokeze

    Ikiwa tuanhitaji kuona elimu ya watoto wetu itakuwa bora ni lazima tushiriki sisi wenyewe kuiboresha, ukweli na uhakika ni kuwa elimu ya sasa ni duni kuliko kipindi kingine choye kilichopita, mitaaka inabadilishwa kila siku, mtindo wa ukisiaji matokeo kwa wanafunzi wetu, unabadilika kila uchao...
  4. N

    Tafakari: Maisha baada ya Magufuli kumaliza muhula wake

    Misongo ya mawazo kupungua,namzunguko wa fedha kuwa mkubwa, watumishi kupandishwa madaraja na kulipwa areas zao kwa wakati.
  5. N

    Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

    Haki kisha kabla ya kufanya lolote unaziandika namba husika kwenye kijikaratasi ndipo uanze hatua zinazofuata.
  6. N

    Je, CHADEMA wampe ulinzi Salum Mwalimu maana ushindi wake Kinondoni uko wazi?

    Inatakiwa kuwa fundisho kwao wanaotumia wananchi na wapiga kura wao kama mtaji kuichezea demokrasia yao, waone kuwa hatufurahishwi na wanachokifanya
Back
Top Bottom