hii ni karata ya mwisho kwa ccm wasipompitisha mtu maarufu wamekwisha na mtu maarufu kwa wakati huu ni Lowasa peke yake huyo ndo anaweza kuhimili nguvu ya ukawa vinginevyo wamekwisha.
Du huyo aliyeimba kwenye uzinduzi wa hiyo helicopter ni diamond ameimba mimi sio kama wale nimemsikia kwenye ustream yenu du amakweli hilo dude linateka hadi rais mtarajiwa ni shidaaaah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.