Recent content by Now or Never

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Goli sita hizi hapa tukutane saa sita mchana
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mnaijeria huko anaitwa Mayor of ekiti aliwalamba milioni 200 kupitia handball. So hawataki kuona kosa linajirudia
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hili jambo ndilo ambalo lilinishtua Baada ya Kifo cha Magufuli

    Magufuli anasemwa vibaya kuliko hata Idd Amin... wabongo wa mtandaoni nuksi sana halafu waoga sana😂😅😅😂😂😂
  4. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Nahisi nina tatizo la nguvu za kiume. Hata round mbili siendi tena. naomba msaada jamani. halafu mapigo ya moyo pia yako chini sana kuliko kawaida. Naomba tuendelee kusaidiana wazee najua tushasaidiana mengi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Tumia hii dawa ya kizungu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya benki, wafanyakazi wanakatwa kodi mara mbili, wanaotoza kodi wanaenda kununulia V8 ya milioni 450 au milioni 500

    Anatuambia sisi tuache uoga, Je yeye ujasiri wake anautumia wapi? Je, yeye haumizwi na tozo?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tozo ya benki, wafanyakazi wanakatwa kodi mara mbili, wanaotoza kodi wanaenda kununulia V8 ya milioni 450 au milioni 500

    I dont believe in my fellow human again. Nilianza na Dr. slaa, akasaliti kambi! Siasa hasa z kiafrika sio za kuamini kwa 100%. wakiwekewa dau mezani wanabadilika
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nina Mpango wa kuitoa hii mimba! siko tayari kabisa kulea mtoto asiye wangu

    Mi niko tayari kulea madam. TAtizo ni kulea mtoto asiye wangu
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nina Mpango wa kuitoa hii mimba! siko tayari kabisa kulea mtoto asiye wangu

    Nimejaa hasira asubuhi asubuhi yani wakuu, Naombeni ushauri japo naweza kuchukua maamuzi mengine. Huyu mwanamke nimefahamiana nae Toka mwezi wa 4 mwaka huu na alikua anaishi.mbali sana na mimi. Baada ya.mda kwenda tumekutana mwezi wa 8 tarehe moja, tukapima afya tukawa tuko vyema tu. siku...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji contena 40ft

    Nipe namba inbox tuongee. bei inaweza kuongezeka
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manara aunga mkono Barbra wa Simba kuhudhuria mikutano ya CAF, awaambia Yanga waache kuona wivu

    "Ukae wewe na ki handbag chako..* manara bana😂😂😅😅
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ubarikiwe sana Big Boi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    😅😅😅😅😅😂😂😂 Kikwetu kwetu mtu mzima 25+yrs kufa bila kuacha mtoto ni kama laana. unazikwa na kusahauliwa, huna hata alama kama ulikuwepo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Dah afadhali maana kufa bila kuacha mtoto ni kesi kubwa sana
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume wa kunioa

    Ukiwa tayari kuwa mke wa pili tafadhali nicheki pm
Back
Top Bottom