Recent content by Now or Ever

  1. Now or Ever

    Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

    Dah umenikumbusha ktambo sana ni miaka kama tisa imepita niliwahi kukutana na scenario kama yako lakn mm demu alinichana kabisa akuwa yeye alizaliwa nao na kuna mdogo wake kwa pembeni alkuwa yupo nae akasema hata huyu mdogo wangu kazaliwa nao, aisee nilichoka sanaa sitasahau ile moment katika...
  2. Now or Ever

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    acha kutuzngua kmmk.!
  3. Now or Ever

    Tuhamasishe matumizi ya lugha ya kiingereza

    Ufikiri hafifu wa kudhania kuwa kujua lugha ya kingereza ndio maendeleo, Raisi wa China alikuja bongo miaka flani na akahutubia Tanzania kwa kichina. Je ni wabongo wangapi wanajua kichina? Raisi yule hufanya hotuba yake kwa lugha ya kichina popote pale duniani. Unajua kwann? UTAMBULISHO...
  4. Now or Ever

    Kati ya simu tatu zinazopigwa, mbili ni za mtu anayetaka apewe pesa

    Kama kweli huna pesa mwambie ukweli kwamba huna pesa, ila kama unazo na una uwezo wa kumsaidia lakn bado ukakataa sio sawa, huwezi kusaidia kila mtu katika hii dunia lakn inapotokea nafasi ya kusaidia na umethibitisha kweli muombaji ana changamoto mi naona saidia tu. personally mm nikisaidia...
  5. Now or Ever

    Madada poa wanavyoongezeka Ubungo Riverside

    Sasa kama huogopi ukimwi utaogopa nn kingne. Hilo dubwana liskie tu kwa watu lakini linatisha sana, hayo mengne tunaishi nayo. Pia kwa mdomoni mwanamke atawahi kuona dalili na hvyo kuwahi treatment tofauti na kwenye mbususu utakuta mdada anakata miezi na hajui kama anausambaza mpk wateja wake...
  6. Now or Ever

    Madada poa wanavyoongezeka Ubungo Riverside

    Hapo kwenye BLOW JOB (bj) naona kuna usalama wa afya kwa mwanaume. Huduma nzuri sana hii hasa kwa sisi tusiopenda kuchomeka kila tundu na hatupendelei sabuni ila upwiru ni mzto. Mleta mada tupe details kidogo kuhusu huduma hii na gharama zake wanafanyaje, mikoani hamna hii ktu.
  7. Now or Ever

    Kitu gani cha ajabu ushawahi kukuta kwenye gheto la mshkaji wako?

    Mi nilienda kwa mwanang mmoja hivi nafika kwake picha linaanza nakuta kinu kidogo cha kutwangia vitunguu saumu na viungo, nikiangalia ukutani nakuta ungo umetundikwa. Mshkaji najua hajaoa wala nn asa vile vtu vya nn? (Of course hvo vtu ni useful ila kwa ghetto la mwanaume ambae hajaoa naona...
  8. Now or Ever

    Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

    Mimi na wewe tunaishi dunia mbili tofauti, so please be humble..! Na uamini dunia unayoishi wewe.
  9. Now or Ever

    Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

    Hili lizingatiwe sana dunia hii haiko fair watu wanawindana kama Simba na swala. Safari yako usiage sana watu wasio wa muhimu INASAIDIA.
  10. Now or Ever

    Kwanini siku hizi mahusiano ya kimapenzi kati ya baba mzazi na binti yameshamiri sana?

    Kwenye familia yenu au ukoo wenu? Kama familia yako maana yake ni dingi na dada yako..!
Back
Top Bottom